Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Safiri usiku maanake vyeti ni kwenye 50 limit au panazuia kuovateki usiku hamna hivyo vizuizi.
Usiku siwezi ule mwanga wa gari za upande wa pili.

Ukinipiga natoka nje kabisa kuadjust visibility.

Pia usiku siwezi ona mbali kama mchana. Huwa naona risk sana kusafiri usiku kuliko mchana.

Trafic ni jambo dogo sana la kuogopa barabarani. Hawawezi kukaa kwenye 50 zote barabarani.

Kwa njia ya kaskazini, point zote kuu za trafiki nazifahamu na kazi zao ni zipi. Unaweza kuta sehemu wanafanya ukaguzi tu wa kadi ya gari au wanakagua mabasi makubwa, au wanakagua magendo, au wanakagua malori ya mizigo wote hawahusiki na tochi wala overtaking.

Na kuna visehemu wanadeal na wrong overtaking pekee, hawa hata ukioverspeed hawana shida na wewe kwasababu hawana tochi.

Kutoka bagamoyo mpaka msata tochi inakuwa 1/2. Toka msata mpaka segera tochi ni kama 2/3. Toka segera mpaka korogwe hakuna tochi. Toka korogwe mpaka mombo hakuna tochi. Toka mombo mpaka Same unaanza kukutana na tochi ukishapita mwanga kwenda njia panda. Njia panda mpaka moshi town hapo ndo balaa lenyewe lilipo.
 
Kuna dem na stress zake aliwahi kuniwekea wese la 50 badala ya 30! Ilikula kwake straight away
Ukifika petrol station kama hujazi full tank, mpe hela yake kabisa. Yeye ndo atajua unataka ya 30 na hawezi weka 50.

Hii ya kuongea sio effective kabisa.

Nikiwa natoka, hela ya matumizi ya gari haikai kwenye wallet, naiweka kwenye center console. Iwe ya mafuta, fine, parking, kuosha n.k.

Nikifika petrol station, nachomoa fungu lake nampa, kama ya 100k, nampa 100k yake. Ikiwa full namwambia jaza mpaka juu, huku namuhesabia fungu lake.

Hii ya kuongea naonaga risk sana.
 
Wewe ni mteja muelewa sana mkuu.
Natamani siku moja upite kutuungisha station kwetu.
 
Unakuja?? Au unanipiga kamba[emoji23]
Sema dogo nawe unakaa mbali daah. Yaani Mbezi siyo mitaa yangu kabisa ndiyo maana tangu uje Dar sijakutafuta tuonane maana najua we utashindwa kuja nilipo na mimi kupita huko ni hadi nipate mishe ya kunileta. [emoji53][emoji53]

Nina miezi mingi sijapita huko hasa hiyo njia ya Mbezi-Kinyerezi ndiyo kabisa. Hata safari zangu mara nyingi huwa nazungukia Bagamoyo-Msata-Msoga-Msolwa ili kukwepa zile vurugu za Morogoro Road kuanzia Kimara hadi Chalinze. [emoji1751][emoji1751]

We nitajie tu jina siku yoyote nikipata wasaa wa kupita huko basi nitajisogeza hapo kwenu nije niweke mafuta ya 5K na kibaby walker cha kuazima ili mniseme vizuri. Halafu lazima nikodolee macho kwenye pump ili msiniibie. [emoji16][emoji16]
 
Sema dogo nawe unakaa mbali daah. Yaani Mbezi siyo mitaa yangu kabisa ndiyo maana tangu uje Dar sijakutafuta tuonane maana najua we utashindwa kuja nilipo na mimi kupita huko ni hadi nipate mishe ya kunileta. [emoji53][emoji53]

Nina miezi mingi sijapita huko hasa hiyo njia ya Mbezi-Kinyerezi ndiyo kabisa. Hata safari zangu siku hizi mara nyingi huwa nazungukia Bagamoyo-Msata-Msoga-Msolwa ili kukwepa zile vurugu za Morogoro road hadi Chalinze. [emoji1751][emoji1751]

We nitajie tu jina siku yoyote nikipata wasaa wa kupita huko basi nitajisogeza hapo kwenu nije niweke mafuta ya 5K na kibaby walker cha kuazima ili mniseme vizuri. Halafu lazima nikodolee macho kwenye pump ili msiniibie. [emoji16][emoji16]
Hujaamua tu kupita..Mbezi siyo mbali.
Kama unaweza fika Morogoro na kurudi,hapoMbweni hadi Mbezi ndio ushindwe?

Tuungisheni hata elfu 2 tu...hizo elfu 2 2 ndizo zinazojaza hela sasa.
Japo mimi hutanikuta .
 
Duuh usiniambie ulifikiri pale kijiweni Morogoro nilienda kula bata. Nilisimama kula tu nilikuwa nakuja Dodoma.

Zote hizo ni safari za kikazi mama wala siyo binafsi. Ingekuwa binafsi na ningekuwa sina haraka mbona ningepita tu.

Hehe si ndiyo nakushangaa unavyotusimanga sisi wateja wa buku tano na kumi. Kumbe unaujua umuhimu wetu.
 
Yaani mwaka mzima haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

..............
Wateja wetu wakubwa ni hao wa elfu 5 na elfu 2 bajaji na bodaboda...wa magari nao wapo.
Tunawashukuru sana kwa mchango wao ila wachache wenye gubu wajitahidi kupunguza.
 
Kuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.

Nika park wakanikimbilai vijana wanasema wana abiria wa Moro nikawambia nahitaji wa moja Kwa moja mpaka dom waksema hakuna hapo hao abiria wote ni wa Moro wanangoja abood zitoke Moro zije ziwabebe.

Wakati natafakari akatokea mbaba mmoja kavaa nguo za kimasai akaniuliza naenda wapi nikamjibu Dom, akauliza nauli ya Dom ngapi nikamtaji. Akasema yeye analipa nauli ya Dom lakini atashuka Moro na yupo na mwanae. Nikasema hamna shida.

Tuka Anza safari Yule Mzee WA kimasai alikaa seat ya mbele na mwanae nyuma. Nilianza kuona kero baada ya Mzee kuingiza mkono wake kwenye shuka lake na kukuna P***bu Kama vile yupo peke Ake chooni hivi ili bidi nizime AC tule upepo maana Hali ilibadilika. Mpaka tuna fika Moro Ile pesa yake ikabidi ninunue manukato.
Masai kama Masai....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Halafu ukisema tulipanda basi na wamasai wawili, wanamaindi wakati tabia zao zinawatenga na binadamu wengine..[emoji28]

Siku moja nimepanda daladala hapa mianzini Arusha naelekea Sakina asubuhi saa moja hivi....nikakaa siti moja na kijana wa kimasai na shuka zake...yeye alikuwa amekaa dirishani..

Tunafika kituo cha Technical, masai si akatoa mswaki akaanza kuswaki taratibu taratibu, halafu mate anatema nje dirishani......[emoji35][emoji35][emoji35]..nilihisi ganzi nikakosa cha kufanya..

Masai mliopo huku myusamehe ila wenzenu wakiingia mjini kwa mara ya kwanza, wakusanyeni hata chini ya mti muwape elimu ya kuishi mjini.
 
Back
Top Bottom