Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weekend hii naanza trip....tunaanza mwaka rasmi.Kazi kweli kweli...Fx ni biashara nzuri sana ya kuwakwamua vijana endapo nchi ingeweka taratibu nzuri
RRONDO utatusamehe, tumegeuza uzi kwenda kwenye FX...naona mwezi huu trip si nyingi...
Tusamehe tuupeleke uzi kulinga na kamjadala tu kalikoshika kasi[emoji112][emoji120][emoji120][emoji120]
ndio ivyo tuvumiliane nchi itaabdirika. haitokaa hivi mileleKazi kweli kweli...Fx ni biashara nzuri sana ya kuwakwamua vijana endapo nchi ingeweka taratibu nzuri
RRONDO utatusamehe, tumegeuza uzi kwenda kwenye FX...naona mwezi huu trip si nyingi...
Tusamehe tuupeleke uzi kulinga na kamjadala tu kalikoshika kasi[emoji112][emoji120][emoji120][emoji120]
Haitobadilika mkuu hii nchi hapa ilipo ndipo serikali yenu inapotaka iwepo trust me wala msidhani kwamba eti wanapambana kuwatoa hapa, sababu wenyewe wanakuambia eti nchi ili iweze kutawalika kirahisi lazima kuwe na masikini wengi na wasio na elimu wengi! Mtu pekee aliyejaribu na aliyekuwa anaelekea kuibadilisha nchi alikuwa ni Magufuli sema ndiyo hivyo 'Mungu alimpenda zaidi', so labda atokee mwingine kama yeye ambaye naye lazima tu 'Mungu atampenda zaidi'!ndio ivyo tuvumiliane nchi itaabdirika. haitokaa hivi milele
Unaamini tanzania ya mwaka 2000 ni sawa na tanzania ya 2020 ? Mabadiriko yapo mkuu. Isipokuwa hatuna focus moja kila mtawala akija anakuja na mambo yake.. inakuwa ngumu kuona hata yale mabadiriko katika ukubwa wake.. kwasababu vitu havifikii maturity anakuja na lake na mwingine anakuja na lakeHaitobadilika mkuu hii nchi hapa ilipo ndipo serikali yenu inapotaka iwepo trust me wala msidhani kwamba eti wanapambana kuwatoa hapa, sababu wenyewe wanakuambia eti nchi ili iweze kutawalika kirahisi lazima kuwe na masikini wengi na wasio na elimu wengi! Mtu pekee aliyejaribu na aliyekuwa anaelekea kuibadilisha nchi alikuwa ni Magufuli sema ndiyo hivyo 'Mungu alimpenda zaidi', so labda atokee mwingine kama yeye ambaye naye lazima tu 'Mungu atampenda zaidi'!
Ndiyo yote hiyo ni mipango yao wataishia kuzungukazunguka tu hapo hapo ila maendeleo yanayoeleweka tusahau! Maendeleo yanaanza tu na wewe mwenyewe mkuu ukisema uisubirie hii serikali utasubiri sana na utaishia kuonekana mlalamishi tu!Unaamini tanzania ya mwaka 2000 ni sawa na tanzania ya 2020 ? Mabadiriko yapo mkuu. Isipokuwa hatuna focus moja kila mtawala akija anakuja na mambo yake.. inakuwa ngumu kuona hata yale mabadiriko katika ukubwa wake.. kwasababu vitu havifikii maturity anakuja na lake na mwingine anakuja na lake
Trading Academy unaianzisha lini mkuu niwe Head of Security and Environment.ndio ivyo tuvumiliane nchi itaabdirika. haitokaa hivi milele
😀😀😀😀😀 aisee sifundishagi kabisa hii mambo.... acha nipambane na hali zanguTrading Academy unaianzisha lini mkuu niwe Head of Security and Environment.
Hahaaaaaa hata Hegde fund Yako Mkuu, unatakiwa uwe kwenye level ya Investing company Ili kwamba hata usipokuwepo kampuni na investment vinaendelea kuwepo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee sifundishagi kabisa hii mambo.... acha nipambane na hali zangu
Hegde fund eeeh 😊😊😊😊... Mdogo mdogo ndugu yangu tutafika hata hao wenye billions of money walianzia sehemu. Tuzitendee haki ndoto zetu.. sasa hivi nimekuwa trader na soon nawekeza sehemu kubwa huko..Hahaaaaaa hata Hegde fund Yako Mkuu, unatakiwa uwe kwenye level ya Investing company Ili kwamba hata usipokuwepo kampuni na investment vinaendelea kuwepo
SafiHegde fund eeeh [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]... Mdogo mdogo ndugu yangu tutafika hata hao wenye billions of money walianzia sehemu. Tuzitendee haki ndoto zetu.. sasa hivi nimekuwa trader na soon nawekeza sehemu kubwa huko..
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]umeongea fact.....hawa watu hawataki system ibadilike na ndiyo maana wanapmabana kuhakikisha na watoto wao wanakaa kwenye system ili kulinda mipango ya wazee wao....Haitobadilika mkuu hii nchi hapa ilipo ndipo serikali yenu inapotaka iwepo trust me wala msidhani kwamba eti wanapambana kuwatoa hapa, sababu wenyewe wanakuambia eti nchi ili iweze kutawalika kirahisi lazima kuwe na masikini wengi na wasio na elimu wengi! Mtu pekee aliyejaribu na aliyekuwa anaelekea kuibadilisha nchi alikuwa ni Magufuli sema ndiyo hivyo 'Mungu alimpenda zaidi', so labda atokee mwingine kama yeye ambaye naye lazima tu 'Mungu atampenda zaidi'!
Mkuu nakubaliana na wewe, Tz ya 2000 si hii ya leo...mabadiliko yapo ila yamejikita kwenye ujenzi wa magorofa kwenye miji, barabara na miundombinu mingine..Unaamini tanzania ya mwaka 2000 ni sawa na tanzania ya 2020 ? Mabadiriko yapo mkuu. Isipokuwa hatuna focus moja kila mtawala akija anakuja na mambo yake.. inakuwa ngumu kuona hata yale mabadiriko katika ukubwa wake.. kwasababu vitu havifikii maturity anakuja na lake na mwingine anakuja na lake
Haya mambo ya financial markets ni allien subject kwa wengi sana kuanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida...ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]
Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
Umeongea kitu sensible sana.Haitobadilika mkuu hii nchi hapa ilipo ndipo serikali yenu inapotaka iwepo trust me wala msidhani kwamba eti wanapambana kuwatoa hapa, sababu wenyewe wanakuambia eti nchi ili iweze kutawalika kirahisi lazima kuwe na masikini wengi na wasio na elimu wengi! Mtu pekee aliyejaribu na aliyekuwa anaelekea kuibadilisha nchi alikuwa ni Magufuli sema ndiyo hivyo 'Mungu alimpenda zaidi', so labda atokee mwingine kama yeye ambaye naye lazima tu 'Mungu atampenda zaidi'!
Maendeleo yangekuja bila hata ya kuwa na serikali.Mkuu nakubaliana na wewe, Tz ya 2000 si hii ya leo...mabadiliko yapo ila yamejikita kwenye ujenzi wa magorofa kwenye miji, barabara na miundombinu mingine..
Sekta ya afya uozo mtupu..
Sekta ya elimu uozo mtupu. .
Na wataalamu wanakuambia ukitaka kumtawala binadamu milele, hakikisha hapati elimu au elimu yake iwe duni, afya yake iwe duni pia itapelekea ubongo wake kufikiri kidogo...
Hapo ndipo thithiemu walipowin kucheza na watanzania.....mtaala wa elimu hautekwlezeki kwa vitendo maana mazingira ya elimu ni mabaya....watoto wao wanasoma Ulaya na International school...masikini walio wengi wanasoma Sent kayumba na sekondari za kata.....huko ambako wameruhusu wenye mimba wakshazaa warudi tena.
Bila kiondoa system iliyopo, Tz bado tupo gizani
Naushuhudia msemo wako kuwa consumption ina vary with change in altitude.Maendeleo yangekuja bila hata ya kuwa na serikali.
Kuna wakati naona serikali inakwamisha mambo mengi.
Umekuja Arusha, hunitafuti arifu...nikupeleke viwanja vyenye loshoro tamu mkuu..[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Naushuhudia msemo wako kuwa consumption ina vary with change in altitude.
Nashuka Arusha kuitafuta Dar naona gari inanipa 15kmpl.
Wakati napanda Jumapili ilimax at 12