Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kazi kweli kweli...Fx ni biashara nzuri sana ya kuwakwamua vijana endapo nchi ingeweka taratibu nzuri
RRONDO utatusamehe, tumegeuza uzi kwenda kwenye FX...naona mwezi huu trip si nyingi...
Tusamehe tuupeleke uzi kulinga na kamjadala tu kalikoshika kasi[emoji112][emoji120][emoji120][emoji120]
Weekend hii naanza trip....tunaanza mwaka rasmi.
 
Kazi kweli kweli...Fx ni biashara nzuri sana ya kuwakwamua vijana endapo nchi ingeweka taratibu nzuri
RRONDO utatusamehe, tumegeuza uzi kwenda kwenye FX...naona mwezi huu trip si nyingi...
Tusamehe tuupeleke uzi kulinga na kamjadala tu kalikoshika kasi[emoji112][emoji120][emoji120][emoji120]
ndio ivyo tuvumiliane nchi itaabdirika. haitokaa hivi milele
 
Haitobadilika mkuu hii nchi hapa ilipo ndipo serikali yenu inapotaka iwepo trust me wala msidhani kwamba eti wanapambana kuwatoa hapa, sababu wenyewe wanakuambia eti nchi ili iweze kutawalika kirahisi lazima kuwe na masikini wengi na wasio na elimu wengi! Mtu pekee aliyejaribu na aliyekuwa anaelekea kuibadilisha nchi alikuwa ni Magufuli sema ndiyo hivyo 'Mungu alimpenda zaidi', so labda atokee mwingine kama yeye ambaye naye lazima tu 'Mungu atampenda zaidi'!
 
Unaamini tanzania ya mwaka 2000 ni sawa na tanzania ya 2020 ? Mabadiriko yapo mkuu. Isipokuwa hatuna focus moja kila mtawala akija anakuja na mambo yake.. inakuwa ngumu kuona hata yale mabadiriko katika ukubwa wake.. kwasababu vitu havifikii maturity anakuja na lake na mwingine anakuja na lake
 
Ndiyo yote hiyo ni mipango yao wataishia kuzungukazunguka tu hapo hapo ila maendeleo yanayoeleweka tusahau! Maendeleo yanaanza tu na wewe mwenyewe mkuu ukisema uisubirie hii serikali utasubiri sana na utaishia kuonekana mlalamishi tu!
 
Hahaaaaaa hata Hegde fund Yako Mkuu, unatakiwa uwe kwenye level ya Investing company Ili kwamba hata usipokuwepo kampuni na investment vinaendelea kuwepo
Hegde fund eeeh 😊😊😊😊... Mdogo mdogo ndugu yangu tutafika hata hao wenye billions of money walianzia sehemu. Tuzitendee haki ndoto zetu.. sasa hivi nimekuwa trader na soon nawekeza sehemu kubwa huko..
 
Haitobadilika mkuu hii nchi hapa ilipo ndipo serikali yenu inapotaka iwepo trust me wala msidhani kwamba eti wanapambana kuwatoa hapa, sababu wenyewe wanakuambia eti nchi ili iweze kutawalika kirahisi lazima kuwe na masikini wengi na wasio na elimu wengi! Mtu pekee aliyejaribu na aliyekuwa anaelekea kuibadilisha nchi alikuwa ni Magufuli sema ndiyo hivyo 'Mungu alimpenda zaidi', so labda atokee mwingine kama yeye ambaye naye lazima tu 'Mungu atampenda zaidi'!
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]umeongea fact.....hawa watu hawataki system ibadilike na ndiyo maana wanapmabana kuhakikisha na watoto wao wanakaa kwenye system ili kulinda mipango ya wazee wao....

Ukombozi nchii si tusiutegemee kwa katiba ile ya 1977
 
Unaamini tanzania ya mwaka 2000 ni sawa na tanzania ya 2020 ? Mabadiriko yapo mkuu. Isipokuwa hatuna focus moja kila mtawala akija anakuja na mambo yake.. inakuwa ngumu kuona hata yale mabadiriko katika ukubwa wake.. kwasababu vitu havifikii maturity anakuja na lake na mwingine anakuja na lake
Mkuu nakubaliana na wewe, Tz ya 2000 si hii ya leo...mabadiliko yapo ila yamejikita kwenye ujenzi wa magorofa kwenye miji, barabara na miundombinu mingine..

Sekta ya afya uozo mtupu..
Sekta ya elimu uozo mtupu. .

Na wataalamu wanakuambia ukitaka kumtawala binadamu milele, hakikisha hapati elimu au elimu yake iwe duni, afya yake iwe duni pia itapelekea ubongo wake kufikiri kidogo...

Hapo ndipo thithiemu walipowin kucheza na watanzania.....mtaala wa elimu hautekwlezeki kwa vitendo maana mazingira ya elimu ni mabaya....watoto wao wanasoma Ulaya na International school...masikini walio wengi wanasoma Sent kayumba na sekondari za kata.....huko ambako wameruhusu wenye mimba wakshazaa warudi tena.

Bila kiondoa system iliyopo, Tz bado tupo gizani
 
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
Haya mambo ya financial markets ni allien subject kwa wengi sana kuanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida.

Wahindi na foreigners wengi wamekuwa wanafanya tangu kabla kina jeff hawajaanza.

Ila system imeshakuwa seggregatory to the extent ukianza kuleta mahela yako lazima upate kashkash nyingi sana.

System ishawekwa mweusi hutakiwi kuwa mali za kutisha kuliko muhindi.
 
Haitobadilika mkuu hii nchi hapa ilipo ndipo serikali yenu inapotaka iwepo trust me wala msidhani kwamba eti wanapambana kuwatoa hapa, sababu wenyewe wanakuambia eti nchi ili iweze kutawalika kirahisi lazima kuwe na masikini wengi na wasio na elimu wengi! Mtu pekee aliyejaribu na aliyekuwa anaelekea kuibadilisha nchi alikuwa ni Magufuli sema ndiyo hivyo 'Mungu alimpenda zaidi', so labda atokee mwingine kama yeye ambaye naye lazima tu 'Mungu atampenda zaidi'!
Umeongea kitu sensible sana.

Vijana mkiwa na hela na elimu nzuri ni ngumu kutawalika.

Ndo maana mnawekewa vikwazo kutoboa.

Mtaishia kuwa bodabodaz tu.
 
Mkuu nakubaliana na wewe, Tz ya 2000 si hii ya leo...mabadiliko yapo ila yamejikita kwenye ujenzi wa magorofa kwenye miji, barabara na miundombinu mingine..

Sekta ya afya uozo mtupu..
Sekta ya elimu uozo mtupu. .

Na wataalamu wanakuambia ukitaka kumtawala binadamu milele, hakikisha hapati elimu au elimu yake iwe duni, afya yake iwe duni pia itapelekea ubongo wake kufikiri kidogo...

Hapo ndipo thithiemu walipowin kucheza na watanzania.....mtaala wa elimu hautekwlezeki kwa vitendo maana mazingira ya elimu ni mabaya....watoto wao wanasoma Ulaya na International school...masikini walio wengi wanasoma Sent kayumba na sekondari za kata.....huko ambako wameruhusu wenye mimba wakshazaa warudi tena.

Bila kiondoa system iliyopo, Tz bado tupo gizani
Maendeleo yangekuja bila hata ya kuwa na serikali.

Kuna wakati naona serikali inakwamisha mambo mengi.
 
Back
Top Bottom