Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

toka saa1 jioni uingie tunduma saa 11 alfajiri its not a joke, ulitembea kweri kweri
Kama aliwasubiria Msamvu-Morogoro,ni sahihi wala hakumwagika sana,kawaida sana alitembea....
Kutoka Morogoro hadi Iringa-Ipogolo ni 300km,kutoka Ipogolo hadi Makambako ni 164km,na kutoka Makambako hadi Mbeya ni 178km,
Mbeya kwenda Tunduma tena ukianzia Uyole Junction ya kwenda Kasumulu ni 113Km
300+164+178+113= 755Km kwa usiku kucha ni kawaida mno tena kumbuka kuanzia baada tu ya Iyovi hadi Igawa unaweza ukatembea na 180 sehemu kubwa sana.
Ukim zoom vizuri kwa gari aliyokuwa nayo unaweza pia ukamuondolea nyota mbili begani

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mkuu kwa kuniweka sawa, hizi speed limit zetu zinashangaza sana,if max speed kwenye barabara zetu ni ngapi?,Zambia ni 100km/hr,Botswana, Namibia na SA ni 120km/hr,je kwetu ni ngapi?
Kwetu tiririka tani yako kwa gari za Private isipokuwa sehemu yenye zuiwo,na 80km/hr kwa Public

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Hii nasikia ipo Mbeya? Sijawahi kufika
Mbeya hii,nane nane.
Screenshot_20220525-233407.jpg

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Wana road trip, Nipo kuitafuta Mby, Morogoro sasa.

Mwendo wa kifaza.

Nimepita kijazi interchange sa 10 na dk kama 10 hv
Welldone mkuu na safari salama, binafsi muda ulioondoka sio mwafaka sana maana mabus njiani humo ni balaa, kuwa careful nayo na offcourse vitochi na ujenzi unaoendelea kabla ya kona za iyovi, kuna stop and go pale,kitonga pass ni hatari as usual, wash taa dim lights ili uonekane kuepusha craze drivers
 
Kwangu nimeona ni mwafaka niyatangulie mabus.

Ujenzi nimeona, tochi hazinipi shida nipo na afande.

Mbuyuni sasa
 
Welldone mkuu na safari salama, binafsi muda ulioondoka sio mwafaka sana maana mabus njiani humo ni balaa, kuwa careful nayo na offcourse vitochi na ujenzi unaoendelea kabla ya kona za iyovi, kuna stop and go pale,kitonga pass ni hatari as usual, wash taa dim lights ili uonekane kuepusha craze drivers
Muda upi ni mwafaka?
 
Back
Top Bottom