Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama aliwasubiria Msamvu-Morogoro,ni sahihi wala hakumwagika sana,kawaida sana alitembea....toka saa1 jioni uingie tunduma saa 11 alfajiri its not a joke, ulitembea kweri kweri
Alitembea mdogo mdogo sana wala hajakimbiaNi kama km 730 around hapo.
Kutoka DAR ndiyo 900km, mwendo wa kawaida tena kwa usiku hakuna 50
Lembeni-Mwanga,KLMWazee wa road trips kama kawa kama dawa [emoji109]View attachment 2236795
Mbeya sio hii mkuu,nitakuwekea ya MbeyaHii nasikia ipo Mbeya? Sijawahi kufika
Kwetu tiririka tani yako kwa gari za Private isipokuwa sehemu yenye zuiwo,na 80km/hr kwa PublicAhsante mkuu kwa kuniweka sawa, hizi speed limit zetu zinashangaza sana,if max speed kwenye barabara zetu ni ngapi?,Zambia ni 100km/hr,Botswana, Namibia na SA ni 120km/hr,je kwetu ni ngapi?
Mbeya hii,nane nane.Hii nasikia ipo Mbeya? Sijawahi kufika
Igawa ileeeeeee...Mbona hawakai na tochi kutumulika tunaopita na 160kph?
Duuuh!Mstari wa kifo,magari na treni vyote huvuka kwa kutumia daraja moja.
Wakali wa location fungueni code hiyoView attachment 2238730
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Welldone mkuu na safari salama, binafsi muda ulioondoka sio mwafaka sana maana mabus njiani humo ni balaa, kuwa careful nayo na offcourse vitochi na ujenzi unaoendelea kabla ya kona za iyovi, kuna stop and go pale,kitonga pass ni hatari as usual, wash taa dim lights ili uonekane kuepusha craze driversWana road trip, Nipo kuitafuta Mby, Morogoro sasa.
Mwendo wa kifaza.
Nimepita kijazi interchange sa 10 na dk kama 10 hv
Safe travells.Wana road trip, Nipo kuitafuta Mby, Morogoro sasa.
Mwendo wa kifaza.
Nimepita kijazi interchange sa 10 na dk kama 10 hv
HakikaPole pole ndio mwendo.
Kwangu nimeona ni mwafaka niyatangulie mabus.Welldone mkuu na safari salama, binafsi muda ulioondoka sio mwafaka sana maana mabus njiani humo ni balaa, kuwa careful nayo na offcourse vitochi na ujenzi unaoendelea kabla ya kona za iyovi, kuna stop and go pale,kitonga pass ni hatari as usual, wash taa dim lights ili uonekane kuepusha craze drivers
Muda upi ni mwafaka?Welldone mkuu na safari salama, binafsi muda ulioondoka sio mwafaka sana maana mabus njiani humo ni balaa, kuwa careful nayo na offcourse vitochi na ujenzi unaoendelea kabla ya kona za iyovi, kuna stop and go pale,kitonga pass ni hatari as usual, wash taa dim lights ili uonekane kuepusha craze drivers
Na mimi nataka kujua aseeMuda upi ni mwafaka?
Safari ya kukimbiza T1 kwangu huwa ninaianza saa 14:00hrs,mdogo mdogo hadi morogoro niingie saa 18:00hrs, hapo sasa ndio safari inaanza maana mabus karibu yote yamesha kuwa cleared, touch zote zipo mfukoni, barabara inakua imetulia na ligi na ITs inaanza, alfajiri ndani ya Tunduma border!!Muda upi ni mwafaka?