Wanabambika kesi hawa, mi sikuona kibao, kukomalia akasema kwani sioni ni makazi ya watu kwanini nakimbia, speed yenyewe 60Hivi ndio madereva wote wanatakiwa kuwa, sidhani kama mwaka jana wote nimepigwa faini hata moja. Mimi ni mzee wa kufuata vibao.