Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Shukrani. Ntafanya hivyoTembea mchana tu na pia safari yako ivunje mara mbili either lala dodoma au singida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani. Ntafanya hivyoTembea mchana tu na pia safari yako ivunje mara mbili either lala dodoma au singida.
Hello waheshimiwa.
Nina safari ya Kahama-Dar mwezi huu, zaidi ya kilometer 1,000.
Umbali niliowahi kuendesha gari non stop ni kilometer 300 tu.
Je nitatoboa? Mna ushauri gani?
Gari ndogo cc 1490.
Mshana Jr
Asante sana kwa mwongozo.Anza Safari Mapema saa 10 alfajiri barabara haina fujo Utaenda kulala Moro maana utafika saa 9 au 10 ya Jioni.
Hapo nimepiga unatembea speed ya 80 ile,pia usitake league njiani Speed nzuri ya usalama ni 80 hadi 120 cheza tu humo na usi overtake kwa kubet na usiovertake kwa akili ya Dereva mwenzio hasa mabasi chap unakula Bunda wale jamaa ni hovyo sana,pia usiwe dereva wa kutoa Mguu wa kushoto nje kila Muda unapopishana na mtu au ma bus yanapokupigia horn nyuma yako wewe kaa kati akitaka apae au aangalie site aovertake labda pale inapokubidi kufanya fair cheza Fair.
Pia uwe na vituo Singida nyoosha Miguu kidogo na Dodoma tena nyoosha mgongo na miguu kisha Morogoro pumzika.
Anza Safari Mapema saa 10 alfajiri barabara haina fujo Utaenda kulala Moro maana utafika saa 9 au 10 ya Jioni.
Hapo nimepiga unatembea speed ya 80 ile,pia usitake league njiani Speed nzuri ya usalama ni 80 hadi 120 cheza tu humo na usi overtake kwa kubet na usiovertake kwa akili ya Dereva mwenzio hasa mabasi chap unakula Bunda wale jamaa ni hovyo sana,pia usiwe dereva wa kutoa Mguu wa kushoto nje kila Muda unapopishana na mtu au ma bus yanapokupigia horn nyuma yako wewe kaa kati akitaka apae au aangalie site aovertake labda pale inapokubidi kufanya fair cheza Fair.
Pia uwe na vituo Singida nyoosha Miguu kidogo na Dodoma tena nyoosha mgongo na miguu kisha Morogoro pumzika.
View attachment 2922040
Guess location please ..
Achukue huu ushauri hasa hapo kwenye kuimega safari vipande viwili, na kwa kituo atakachoamua kulala (nashauri dodoma/morogoro kokote ambapo ataliwahi giza kulingana na mwendo wake) ASUBUHI KABLA HAJAWASHA GARI KITU CHA KWANZA AKAGUE REJETA (COOLANT/AU KAMA MZEE WA MAJI) aangalie kama imepungua ama la na pia achungulie reserve, AANGALIE KIWANGO CHA ENGINE OIL kama kimeshuka sana ama kinaruhusu, akague tairi na brake pads, KISHA AOMBE DUA AANZE SAFARI atarudia hizi steps atakapoamka pale alipoweka kituo kwa safari ya awamu ya pili...Anza Safari Mapema saa 10 alfajiri barabara haina fujo Utaenda kulala Moro maana utafika saa 9 au 10 ya Jioni.
Hapo nimepiga unatembea speed ya 80 ile,pia usitake league njiani Speed nzuri ya usalama ni 80 hadi 120 cheza tu humo na usi overtake kwa kubet na usiovertake kwa akili ya Dereva mwenzio hasa mabasi chap unakula Bunda wale jamaa ni hovyo sana,pia usiwe dereva wa kutoa Mguu wa kushoto nje kila Muda unapopishana na mtu au ma bus yanapokupigia horn nyuma yako wewe kaa kati akitaka apae au aangalie site aovertake labda pale inapokubidi kufanya fair cheza Fair.
Pia uwe na vituo Singida nyoosha Miguu kidogo na Dodoma tena nyoosha mgongo na miguu kisha Morogoro pumzika.
from kahama to dar.Daaah yani atoke dar saa 10 alfajiri afike moro saa 10 jioni anatembea au ana nyata[emoji23] yani hapo akanyage akalale singapore au dom
Acha kabisa mkuu, mie juzi natoka Dar kwenda Singida nimeyapiga sana maana nilikuwa nina haraka kweli kweli.Njia ya Moro-Dom nimeambiwa ina mahandaki balaa!
Tupia picha mkuu.Dah kitambo sn umu,wadau ni aje?
Road trips zimekua nyingi balaa zinanikeep busy mno.
Now days napiga trip za songea to kenya kila wiki km kuna mdau anamzigo kutoka tarakea kupitia arusha-babati-dodoma-iringa-makambako-njombe-songea tuwasiliane mnipe maisha kjn wenu[emoji120]
HatariMlima kolo,kondoa ukungu htr km njombe vileView attachment 2949814
Na kona za pale zilivyokali unaweza jikuta umevaana na basiMlima kolo,kondoa ukungu htr km njombe vileView attachment 2949814