Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Natamani sana hizo dua ziwakute hao mahayawani lakini sidhani kama zinafanya kazi ni upuuzi tu. Ingekuwa kweli basi Palestina wangekuwa washammaliza Israel au waarabu wote wanheshammaliza mmarekani kwa hizo albadir. Tusipotezeane muda tuwasake tu hao jamaa tumalizane nao.
 
Iwe vyovyote vile ilimradi tu waliotenda unyama hule wazurike, Kama ni ushirikina basi huo ushirikina ni mzuri.
 
Hiyo mbaya itawadhuru mpaka abiria wenzie walioshindwa kuwaziia watu wenye silaha kumshusha
Wewe ungeweza?? Au unasema tu, unaanzaje kuamua ugonvi na mtu mwenye bunduki? Au wewe ni mhusika huko hapa kutukejeri tu, nina wasiwasi na wewe.
 
Wapalestina na Waisraeli kila mmoja mikono yao ina Damu ya wenzao !
Kila anayewahi anamuua mwenzake !
Pale Albadir inakaa pembeni !
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…