SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Watahonga wangapi, hapa Kwa msisi Handeni wazee wanafanya ya kimila zinahitaji ndoo sita za mate hadi Jumamosi , hili nyugu siyo la kitoto, na Pangani nako wamejipanga kivyao lazima kieleweke tu, huko Mbaramo Lushoto nako wazee wameshamaliza tangu jana wanasikilizia matokeo tu.Hilo ni wazo zuri ila ninachojua watahongwa isisomwe ,pia wazee wanaweza kushitaki kwa mizimu yao itajibu tu.
Yaani mtu msafi kwelikweli amuombee mtu ili mabaya yamkute?Hio dua lazma kwanza msomaji awe msafi kwelikweli, na iliwezekana sana enzi hizo kwa sasa labda waroge ila kukuta mtu msafi wa kukusomea albadili ikafanya kazi kwa sasa ngumu
Mbona kama unajitetea sana subiri mpindishwe midomo baadhi yenu mgeuke vichaa na wengine WAFE kama alivyo kufa huyo kada wa chamaAlbadiri sio Dua , bali ni uchawi wa kiarabu. Ndio maana siku zote inasomwa kuleta madhara tu na sio manufaa. Huwezi sikia mgonjwa akasomewa albadiri ili spine au mwanafunzi akasomewa albadiri ili afaulu mitihani. Albadiri ni uchawi.
Hata kwenye Biblia imeandikwa usimuache mwanamke mchawi aishi.Yaani mtu msafi kwelikweli amuombee mtu ili mabaya yamkute?
Usafi sasa wa mtu huyo u wapi sasa?
Who can bring a clean thing out of an unclean?
mchango wako tu huu unaonesha usha kufa kiakili ila wewe wajiona mzimaHayo madude nishasomewa miaka kumi iliyo pita ili nife baada ya wiki ila naona nipo tu😂😂😂😂😂😂
Waislam Wachache sn wanaweza kuusem huu ukweliHakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu
Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Athari zimeanza kujiri mapema kabla hawajapiga kisomo.Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu
Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Mkuu,Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu
Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
waanze na peter msigwaKutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
Mkuu tuliamchango wako tu huu unaonesha usha kufa kiakili ila wewe wajiona mzima
Hahahah kivip ?mchango wako tu huu unaonesha usha kufa kiakili ila wewe wajiona mzima
Kama kuna mchango nami nita toa.Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
It depends na jinsi unavyotafsiri Maandiko Matakatifu.Hata kwenye Biblia imeandikwa usimuache mwanamke mchawi aishi.
Mambo gani hayaendi mkuu😅😅😅Huenda unaishi bado lakini Mambo hayaendi
Na ushirikiano kabisa 🤣🤣🤣Ushirikina ushirika sawa, hamna shida ....