Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Nimeanza mfungo binafsi tangu usiku wa kuamkia leo , nimerudi rasmi msalabani kutua machozi yangu , Mungu wangu mwaminifu sana . Nimejitakasa na nipo na kazi hii kwa siku 14 , moja ya maombi yangu .

Nikujua kama watawala wa kipindi ichi ni kwa neema yake Bwana au la , na kama sio Mungu anioneshe kwa vitendo ndani ya siku 47 bila kujali yatakua ya maumivu kwa kiasi gani kwa upande mwingine wa shilingi.

Pili ninaomba Jua chimbuko la laana hii ndani ya hili taifa, mzizi wake na namna ya kuuchomoa ,Mungu wangu mwaminifu sana


7+4 == 11 , twende kazi wao wapo na vyeo na mabunduki sie tupo na No11 , malaika wote wamejaa tele twende kazi
 
Huu ndio ujinga wetu Africa, waarabu na dini yao wameshindwa kufanya kwa wazayuni wanauwawa kila siku kwa kupigania haki yao ,ndio nyie wamatumbi wakuletewa dini mfanye😅😅😅😅😅😅
nina uhakika unasema hayo kwa sababu hujui hayo mambo na kwa sababu hujataka kujua ipo siku utajua, kuna mtu kama wewe alisema haamini uchawi yakaja kumkuta,

Kwa kifupi hayo mambo ya dua ni kichaka tu ila kipo kitu halisi hufanyika na hata unaweza kumalizwa ukoo mzima , unalijua jani la mkonge? Kama una umri mkubwa kiasi mpaka hapo kukueleza jani la mkonge utakua ushapata password
 
mimi kitu nawaza hizi mbinu kipindi cha ukoloni zilikua wapi? sjawahi pata jibu mkuu unaweza jibia?
 
Miaka 27 iyo pita nishatoa nafasi kwenye kijiji fulani maarufu waniloge wakashindwa naomba na wewe usome hiyo kitu nife mkuu, hakuna mtu anaweza kuniaminisha mambo ya kipumbavu kama ya dini na uchawi nikafuata eti kisa tu kanitishia,japo kibinadamu natambua dhamani ya mtu.
 
Hata kama kuna ushirikina wowote wafanye ili mradi tupate matokeo
 
Mimi mwenyewe kwenye tukio hili sifurahishwi na baadhi ya watu wanaosema "tumuachie Mungu"

Ujue hii inaweza kuwa simple kwasababu tu labda unaiona kwa mwenzako na haijakukuta wala kumtokea mtu wako wa karibu.

Lakini trust me ikikutokea hii ya wewe kupoteza mpendwa wako katika mazingira haya, halafu ukasikia mtu anakuambia "tumuachie Mungu" lazima kauli hiyo uione ni some sort of ridiculous.
 
Kumwachia Mungu ni kauli ya kushindwa na kukata tamaa
 
Utafikiri hii ni albadil ya kwanza kusomwa.

Tutumie uelewa ndugu zangu
 


Albadiri haifai. Ni ushirikina. Uislam uko mbali na "albadiri". Mzee Ally anahitaji kuombewa kwa Allah msamaha, Allah amsamehe madhambi yake na amrehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…