Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji

Una hoja, ila ulipoharibu ni kuingiza viashiria vya ukabila. Kwanini utumie neno wazee wa uchagani ? Nani kakuambia kilimanjaro ni ya wachaga peke yao. Siku fichi ndugu zangu bado mna safari ndefu sana kwa tabia hizi za kibaguzi. Usijifanye ninyi ni special na bora kuliko wakazi wengine wa mkoa huo. What is special with Moshi/kilimanjaro ? Huo mkoa una tofauti gani kimuonekano na wilaya ya nyamagana?
 
 
Kuwa jiji mana yake unamega zaidi ardhi ya kilimo na kuiongezea mji wa Moshi; wao waliiona athari ya hilo na walikataa na walikuwa sahihi. Ardhi ya kilimo inapaswa kulindwa sio kubadilishwa matumizi holela; ingekuwa sehemu zingine za mambumbumbu hilo lingepita lakini madiwani wao walikataaa ili kuwalinda wakulima wai wasipoteze ajira na kipato kwa kisingizio cha jiji.
 
Acha kufananisha Mbeya na vitu vya ajabu ajabu.
 
Ni kweli kabisa! Pale hamna biashara richa ya kelele hapa!
 
Sasa huku uliko taja kuna nini watu wenyewe hawajitambui
 
Inawezekana kujibu bila kutukana na ukaeleweka.

Au pengine umetukana kwa kuwa huna hoja

Chizi sio tusi. Ni mtu mwenye matatizo ya akili, dalili mojawapo ya uchizi ni kukurupuka na kuropoka hovyo , kama huyu anaefananisha jiji la mbeya na mji wa Moshi.
 
Suala la kuwa Jiji litafanikiwa tu japo kuna vigezo lazima vizingatiwe, kwani hata Rais aliyepita mwaka 2020 aliwahi kuzungumzia hilo, mojawapo ni eneo la manispaa kuwa dogo lakini wakimega kutoka kwenye wilaya jirani itawezekana.

NB: huyu mkulu wa sasa anataka nae aache legacy hivyo lazima tu atalifanya kuwa jiji ili apate cha kukumbukwa hahahah, hivyo komaeni nae , 2025 haifiki bila Moshi kuwa Jiji, Mark my words.
 
Jiji la Moshi yaani hata hainogi kuita jiji....SI bora iwe jiji la mtwara penye vibe....Moshi ibaki kuwa mji TU [emoji1787][emoji1787]
 
Sasa huku uliko taja kuna nini watu wenyewe hawajitambui
Wewe ni taahira watu wa Njombe,mara,simiyu hawajitambui? Kweli wewe ni mpumbavu! Wao Wakinga siwanatokea Njombe hapo kariakoo ndo wanatamba? Wakurya wajita wanatokea mara tena ni wafanya biashara wakubwa na wasomi na jeshini ni wengi tu,Simiyu hawa ni wasukuma wanyantuzu wafanya biashara wakubwa wa madini nchi hii! Kumbe tunabishana na mtu yuko majengo anaropoka!
Sasa huku uliko taja kuna nini watu wenyewe hawajitambui
 
Ushirikina tu hakuna jipya, punguza jazba
 
Ila kweli maendeleo hayaletwi na wazawa,Mara nyingi watu wa nje.
 
Ipo haja kwa moshi kuwa na jiji la ma sky scrappers sio lazima jiji lisambae kila mahali as Kigali city pamoja na udogo wake
 
Ushirikina tu hakuna jipya, punguza jazba
Wewe endelea kuropoka huwa mkikutana mnadanganyana sana na wachaga wenzako! Nenda hata kahama pale ukaone vijana walivo na mafanikio hawana mbwembwe na wachaga wenzako ni wakutafuta kwa tochi hapo kahama! Msiishi kwa mazoea vijana!
 
Aiseee umenifungua!
Ujue ni kweli eti,ukipita moshi yaani hakuna bness ya maana km mikoa mingine!leo nimeelewa!
Hasa hata stand watu hawataki kutoa,kuuza maenei then wanataka maendeleo! Thubutu!
Jmn ht ir inawashinda? Wahamiaji kibao mji umetanuka sio km miaka huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…