wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Hakuna cha vigezo wala nini, Dodoma ilitangazwa na Jiwe kuwa jiji bila kutimiza vigezo. Njia iliyotumika kwa Dodoma kwa nini isitumike kwa Moshi?Lete vigezo vinavyokufanya useme kwamba manispaa ya Moshi inatakuwa kuwa jiji. Bila kuleta vigezo vyako huu uzi utakuwa useless.
Ila sasa huko kwao kunabakia mahame! Kumefubaaa kama nini? Kisha ujue hakuna ukabila lisilonunua ardhi! Sema ukabila wao ndo kikwazo!Wachaga wajanja sana. Yaani kazi yao ni kwenda mikoa mingine kujazana tu huko na kununua Ardhi lakini kwao hawataki kuuza Ardhi. HII NI AKILI KUBWA KAMA WAYAHUDI. Nadhani vizazi vijavyo huko mbeleni ndio wataelewa na kuwapongeza babu zao
Mkoa mzima unawezaje kuwa jiji?Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ
Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Ipo haja kwa moshi kuwa na jiji la ma sky scrappers sio lazima jiji lisambae kila mahali as Kigali city pamoja na udogo wake
Ila kweli maendeleo hayaletwi na wazawa,Mara nyingi watu wa nje.
HakikaWivu na roho mbaya ndio zinawasumbua
"Nataka elfu moja iitwe elfu moja na sio mambo ya buku"JPM.Unaota, yaani nani ajenge skyscrapers kwenye mji ambao buku unaitafuta kwa tochi
KWANI HUFAHAMU CHAGA CUSTOMES ZINAFANANA NA JEWS KWA 95%.Wachaga wajanja sana. Yaani kazi yao ni kwenda mikoa mingine kujazana tu huko na kununua Ardhi lakini kwao hawataki kuuza Ardhi. HII NI AKILI KUBWA KAMA WAYAHUDI. Nadhani vizazi vijavyo huko mbeleni ndio wataelewa na kuwapongeza babu zao
TANuKipimo cha serikali ilikuwa awamu ya kwanza. Baada ya Nyerere ilipaswa iwe mwisho wa CCM.
Watanzania tulimkosea Mungu, ndiyo maana akaamua tupitie ukoloni wa CCM. Tukatubu.
Acha hipzo, Magufuli is in record, ati ukichagua upinzani imekula kwako, hamna maendeleo yoyote.Serikali ya chama Cha Mapinduzi haibagui watanzania..ipo madarakani na inapeleka maendeleo kuanzia kwa akina Mbowe mpaka kwa akina Zito na Sugu..
Mkoa unakuwaje Jiji!?Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu.
Huu ujinga umesababisha mkoa wa Kilimanjaro kudumaa kiuchumi. Hebu fikirieni mkoa wa Kilimanjaro ungekuwepo Kenya. Ungekuwa hivi ulivyo hapa TZ
Serikali ina Sera mbaya Sana, mbovu za maendeleo, utasema nchi haina wasomi waliobobea kwenye uchumi.
Bibi ushungi katapeliwa anadhani na huku ni PembaNa Professor Issa Shivji
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.
Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa.Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.
View attachment 2091096
Yuko wapi sahivi?Acha huxo, Magufuli is in record, ukichagua upinzani imekula kwaki, hamna maendelei yoyote.
Kiranja wa malaika!Yuko wapi sahivi?
AnaozaKiranja wa malaika!