Yeye mwenyewe Lisu mbona anazunguka kuzururisha midonda yake ya risasi si angetulia Tanzania mbona anazurura nayo mara Kenya mara Ubelgiji puuu.Tundu Lissu aliwashauri acheni kuuzurulisha mwili wa marehemu mkajifanya vichwa ngumu! Ona sasa maji yamezidi unga.
Sababu watu watakuwa wengi, wanaepusha yaliyotokea DarVipi kama ikiwa ni kwa sababu za kiUsalama
Sasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa ?
Una panic sama mazee, mwamba ndo hayupo tena so we gombea maiti, tukana sana ila baada ya yote hayo huko Chato, tunakusubiri huku TUKUTUMBUE.Haujajengwa alisema utajengwa hujui kiswahili?
Eeenh Heee!Wanalinda maisha ya Wananchi baada ya maafa yaliyotokea kule Dar es salaam! LEGENDS DO NOT DIE ALONE, THEY ARE ESCORTED!
Sioni kabisa mantinki ya kuwaruhusu Zanzibar kumuaga hayati Magufuli na kuwazuia Geita kufanya kitu hicho hicho
Ni kweli maandiko matakatifu yanasema Nabii hakubaliki nyumbani kwao lakini siyo kwa kulazimisha.
Kamati ya mazishi ya hayati Magufuli ijitafakari kwa upya!
Uliwalenga ninyi wapingaji wa kila kituSasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa ?
Chuki na wivu vitawamalizaNi vema ili kuepusha mwili wa marehemu kuchina!
Hahahaha nimepiga wap mkuu?Uliwalenga ninyi wapingaji wa kila kitu
Nimeshajibu utaona mbele lakini kuna kitu kinaitwa private burial ambapo familia huwa haitaki watu wengi ulaya na marekani ni kitu cha kawaida mfano Princess Diana alipokufa familia yake ya malkia wa uingereza walitangaza kuwa mazishi yatakuwa private aliagwa na kila aliyetaka kuaga ila mazishi yalikuwa private.Una panic sama mazee, mwamba ndo hayupo tena so we gombea maiti, tukana sana ila baada ya yote hayo huko Chato, tunakusubiri huku TUKUTUMBUE.
Hili ni jambo.Wananchi wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha mubashara badala ya kwenda uwanjani...
Mtaalamu wa KiswahiliMdogo uwanja sio Chato yenyewe kiswahili hujui au? Chato ni kubwa sana ila ina uwanja mdogo