Wazee, watoto na wagonjwa Mkoani Geita na mikoa jirani washauriwa kufuatilia kuagwa kwa Rais Magufuli kupitia Vyombo vya Habari

Wazee, watoto na wagonjwa Mkoani Geita na mikoa jirani washauriwa kufuatilia kuagwa kwa Rais Magufuli kupitia Vyombo vya Habari

Aisee..wameandika Chato padogo au eneo la uwanja ndio ndogo?mihemko hii.
Sasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa ?
 
Wanalinda maisha ya Wananchi baada ya maafa yaliyotokea kule Dar es salaam! LEGENDS DO NOT DIE ALONE, THEY ARE ESCORTED!
Eeenh Heee!
"Legends,"? There has to be a new meaning for the word.

If they cannot die alone, that means it's inevitable that people will still die irrespective of where they are!
 
Sioni kabisa mantinki ya kuwaruhusu Zanzibar kumuaga hayati Magufuli na kuwazuia Geita kufanya kitu hicho hicho

Ni kweli maandiko matakatifu yanasema Nabii hakubaliki nyumbani kwao lakini siyo kwa kulazimisha.

Kamati ya mazishi ya hayati Magufuli ijitafakari kwa upya!

Bwashee siku moja moja huwa una nondo sana!

Zama mpya tuwakemee wote wasiotaka kuelewa hoja za msingi msingi kama hizi.

Haya yenye ukakasi kakasi haya tuyashughulikie kwa pamoja.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Una panic sama mazee, mwamba ndo hayupo tena so we gombea maiti, tukana sana ila baada ya yote hayo huko Chato, tunakusubiri huku TUKUTUMBUE.
Nimeshajibu utaona mbele lakini kuna kitu kinaitwa private burial ambapo familia huwa haitaki watu wengi ulaya na marekani ni kitu cha kawaida mfano Princess Diana alipokufa familia yake ya malkia wa uingereza walitangaza kuwa mazishi yatakuwa private aliagwa na kila aliyetaka kuaga ila mazishi yalikuwa private.

Hakuna chombo cha habari kilikanyaga kiwe cha uingereza au popote na hakuna mtu ajuaye hadi leo kaburi la princess Diana picha yake

Sema waswahili tuna tanga ndugu kuwa ukizika ondoka zako lakini private burial pia zipo ndio maana wengine kama wewe unadhani mazishi yote ni public kwa ushamba ulionao
 
Wananchi wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha mubashara badala ya kwenda uwanjani...
Hili ni jambo.

Hii ndio hekima.

Bahati mbaya hekima hizi zinakuja baada ya kupoteza watu 45 mkoani Dar.
 
Yaani watu watoke nchi nzima kwenda Chato! Unajua athari yake? Baada ya mwezi mmoja tu, Chato itakuwa kitovu cha vifo vya changamoto ya upumuaji. Hiyo ndiyo sababu kubwa.
 
Back
Top Bottom