Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

Wewe na nani? Kima wewe
Hii ni sehemu ya maoni, kuelimishana na Hoja mbali mbali.

Kwenda shule ni kutafuta ustaarabu, to co-op with the environment, how do you co-op with the environment kwa kumwambia mtu Kima?

Sote tunajua matusi, maneno ya kejeli ni marufuku katika mtandao.

To violate the rules of the media do we indeed respect the forum and that we need to be there endlessly?
 
Acheni kufikiria matumbo yenu. Jengeni hoja za msingi zitakolisaidia taifa miaka 50 ijayo.
Siyo kutukana viongozi wa serikali kisa suruai yako ina viraka vyingi.
Mkuu yani humu kuna genge la watu fulani hasa ﹰChadema na watu wa kaskazini ao wote kazi yao ndiyo iyo hawako kujadili hoja wao ni matusi na lugha chafu tu
 
Waendelee kutukana matusi lakini wakumbuke Kaskazini haitokuja kutoa Rais wa nchi hii labda awe mpare au mmaasai, vinginevyo never ever
Mkuu yani humu kuna genge la watu fulani hasa ﹰChadema na watu wa kaskazini ao wote kazi yao ndiyo iyo hawako kujadili hoja wao ni matusi na lugha chafu tu
 
Wakati huo Kikwete kazi take nilikuwa imeishapungua sababu walimwambia Membe hatuwezi mpa Nchi kwa sababu walizokuwa wanaxijua wao.
As an incumbent president, Kikwete had the final say... angeliweza kusema if that is the case nahairisha kikao mpaka huko mbele aone reaction yao.... He has the support of the army, police, and other machinery of the government particularly law enforcing ones. Kikwete alikuwa dhaifu!
 
Ni bora udhaifu wa kikwete kuliko udikteta wa magufuli
 
Kuna mmoja amesema he died for a good reason,
 
Ujinga mtupu. But sorry mleta mada. Nimeheshimu bandiko lako ila halina mashiko kwangu
 
nyie mashoga,mtamjadili magufuli mpaka lini!!!

mnasema mataga wanalia,kiuhalisia nyinyi ndio mnalia kila siku.
 
Wa kumlaumu ni Kikwete! Alichonga kinyago kikamzidi nguvu, vitisho , all kind of frustrations, worries and upheavals!
Nakuhakikishia kwamba Laanavya kumleta Magufuli itamtafuna Kikwete hadi kaburini
 
Angalau sasa jakaya anapata heshima anayostahili kila mama alipo na yeye yupo,

Hatamani hata kukumbuka enzi za mwenda zake.
Aisee kifo cha jiwe kimenifunza mengi sana, Kikwete kadharaulika sana kwenye utawala wa Jiwe, hata vijana wadogo walikuwa wanamtukana! Leo hii mama haingiliki na yeyote, Mlango pekee wa kumfikia mama kiurahisi kwa sasa ni huyo Kikwete waliyemdharau, maana yule katibu mkuu kiongozi ni kauzu balaa. And Majaliwa na Mpango nao hawanaga time na chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…