Wazee wetu wenye miaka 50s 60s 70s wengi hawakujitambua kuhusu maisha.

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.

Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi .

Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa hawakununua Ila waliwahi Yale maeneo.

Leo hawa wazazi wetu wanatupa Sana pressure na kutishia kutupa laana kisa hatuwapi pesa.

Hivi MTU aliyesoma Elimu ya kibongo hadi chuo na akahitimu mwaka 2016s

MTU huyu kweli anaweza kuwa na hela za kutapanya na kubadilisha ubao wa matokeo.

Sasa tulieni niwaoneshe Kazi , nalipwa 500K Ila nimeshanunua shamba la mihogo mkuranga na kisarawe.

Nafanya hivi ili watoto wangu wakute assets wasianze zero.

Kizazi cha starehe kilichoendekeza ngono na pombe ndo kizazi hiki hakina network wala connection na ndo kizazi hiki kimekuwa tatizo hapa Tanzania.
 
Mzazi ukimkosoa kidogo anatishia kukupa radhi, juzi nimejikoki kuingia unguja mzee ananitishia sifanikiwi kisa hajanipa baraka nikamwambia azitume kwenye simu tu
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.

Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi .

Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa hawakununua Ila waliwahi Yale maeneo.

Leo hawa wazazi wetu wanatupa Sana pressure na kutishia kutupa laana kisa hatuwapi pesa.

Hivi MTU aliyesoma Elimu ya kibongo hadi chuo na akahitimu mwaka 2016s

MTU huyu kweli anaweza kuwa na hela za kutapanya na kubadilisha ubao wa matokeo.

Sasa tulieni niwaoneshe Kazi , nalipwa 500K Ila nimeshanunua shamba la mihogo mkuranga na kisarawe.

Nafanya hivi ili watoto wangu wakute assets wasianze zero.

Kizazi cha starehe kilichoendekeza ngono na pombe ndo kizazi hiki hakina network wala connection na ndo kizazi hiki kimekuwa tatizo hapa Tanzania.
 
Huna sababu ya kulaumu kizazi kilichokutangulia, hata kama walifanya makosa huna namna ya kuyabadilisha bali wewe ndio unatakiwa upambane ubadilishe matokeo kwa kizazi kijacho.

Wakati mwingine usione mtu hajafanikiwa ukafikiri ni mjinga, bongo ni ngumu kutoboa kwa uhalali, ni ngumu kufanikiwa kwa njia za halali. Wakati mwingine unalazimika kutumia njia za kimafia sana ili ufikie mafanikio, sasa sio wote wana huo moyo wa umafia.
 
Ni kweli vizazi hivyo havikuwahi kuonja ufisadi! Kizazi cha sasa kitu cha kwanza kinawaza utajiri bila kufanya kazi, kwa hiyo wengi wamekuwa wezi na mafisadi! Wako tayari kuwa wasenge wapate fedha!

Kwa hali hiyo nchi ina hali mbaya sana na ndiyo sababu viongozi kuuza mapande ya ardhi hawaoni tabu? Mwisho wa yote nchi yote itauzwa kwa mafisadi na wananchi watabaki kuwa watumwa na vibarua katika nchi yao!
 
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.

Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi .

Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa hawakununua Ila waliwahi Yale maeneo.

Leo hawa wazazi wetu wanatupa Sana pressure na kutishia kutupa laana kisa hatuwapi pesa.

Hivi MTU aliyesoma Elimu ya kibongo hadi chuo na akahitimu mwaka 2016s

MTU huyu kweli anaweza kuwa na hela za kutapanya na kubadilisha ubao wa matokeo.

Sasa tulieni niwaoneshe Kazi , nalipwa 500K Ila nimeshanunua shamba la mihogo mkuranga na kisarawe.

Nafanya hivi ili watoto wangu wakute assets wasianze zero.

Kizazi cha starehe kilichoendekeza ngono na pombe ndo kizazi hiki hakina network wala connection na ndo kizazi hiki kimekuwa tatizo hapa Tanzania.
Kama ilivyokuwa zamani rhumba ndiyo ulikuwa muziki wa vijana sasa hivi ni singeli na maisha yako hivyo hivyo zamani watu walitafuta starehe kwa kuwa fedha haikuwa issue kubwa na sasa vijana wanatafuta fedha hata kwa njia haramu kwa kuwa starehe ya sasa bila fedha hupati!
 
Na sisi watoto wetu badae watatulaumu kuanzia 2100 watatushangaa sana kwa nini hatukununua
 
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.

Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi .

Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa hawakununua Ila waliwahi Yale maeneo.

Leo hawa wazazi wetu wanatupa Sana pressure na kutishia kutupa laana kisa hatuwapi pesa.

Hivi MTU aliyesoma Elimu ya kibongo hadi chuo na akahitimu mwaka 2016s

MTU huyu kweli anaweza kuwa na hela za kutapanya na kubadilisha ubao wa matokeo.

Sasa tulieni niwaoneshe Kazi , nalipwa 500K Ila nimeshanunua shamba la mihogo mkuranga na kisarawe.

Nafanya hivi ili watoto wangu wakute assets wasianze zero.

Kizazi cha starehe kilichoendekeza ngono na pombe ndo kizazi hiki hakina network wala connection na ndo kizazi hiki kimekuwa tatizo hapa Tanzania.
Hao wazazi walikusomesha shukuru ,mengine acha yapite .
 
We mtoto acha kutukana wazee.Slsi enzi zetu tulikuwa mishahara midogo wakuu wa mikoa sh 3450 dk bingwa 1000 walimu 350 nk tulikuwa hatuna posho za extra duty wala honoraria simu achilia mbali upigaji ambao umeenea ktk ofisi za umma. Sasa mnatuona tulizembea?
 
Ni aina ya wazee ambao waliwekeza kwenye Mbususu, starehe na pombe.

Hawana tofauti na vijana wa sasa, wape miaka 20-30 ijayo watakuwa wamechoka sana.

Maisha ni kujipanga. Asikudanganye mtu hakuna kijana ambaye hapati pesa kwenye ujana wake. Hata kama sio nyingi lakini sio zakukosa mwelekeo kabisa.
 
We mtoto acha kutukana wazee.Slsi enzi zetu tulikuwa mishahara midogo wakuu wa mikoa sh 3450 dk bingwa 1000 walimu 350 nk tulikuwa hatuna posho za extra duty wala honoraria simu achilia mbali upigaji ambao umeenea ktk ofisi za umma. Sasa mnatuona tulizembea?
Wakati huo kiwanja ilikuwa sh. Tano.

Sema nyie wazee hizo hela mmevua sana wanawake vyupi wengi mno.
 
Sitaki kuhusika au kuhusishwa ki vyovyote vile ndani ya hii dhambi.
Kiufupi pia ningeshauri useme wazee wengi au wazee wachache Kwasababu sio wote walikuwa hawajitmbui kama unavyonadi
 
Kwakweli wazee wetu waliwekeza kwenye ulevi na ngono arusha apa kulikuwa na mapori karibia mji mzima unakuta mzee hakudaka ata kumi kwa kumi
 
Hata sasa kuna vijana wengi wanajitapa kumiliki idadi kubwa ya wanawake. Kwa sasa wana nguvu wanajiona wajanja.

Ngoja wagonge 45yrs.

Utawaonea huruma hizo stress
 
Back
Top Bottom