Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba.
Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi .
Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa hawakununua Ila waliwahi Yale maeneo.
Leo hawa wazazi wetu wanatupa Sana pressure na kutishia kutupa laana kisa hatuwapi pesa.
Hivi MTU aliyesoma Elimu ya kibongo hadi chuo na akahitimu mwaka 2016s
MTU huyu kweli anaweza kuwa na hela za kutapanya na kubadilisha ubao wa matokeo.
Sasa tulieni niwaoneshe Kazi , nalipwa 500K Ila nimeshanunua shamba la mihogo mkuranga na kisarawe.
Nafanya hivi ili watoto wangu wakute assets wasianze zero.
Kizazi cha starehe kilichoendekeza ngono na pombe ndo kizazi hiki hakina network wala connection na ndo kizazi hiki kimekuwa tatizo hapa Tanzania.