DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

KaziIendelee

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
327
Reaction score
229
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!

========

Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj' Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj
 
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?

Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
 
Back
Top Bottom