All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Hah Mama D kumbe wewe Ndo muuzaji!!!!Afanye utafiti huru asiseme ati hakuna kitu kama jicho wakati sisi ndio wauzaji wa hizo dawa na sisi ndio wavuvi na wahifadhi samaki
Atusikilize tumwambie ukweli tupone
Kwani🙄🙄🙄🙄Hah Mama D kumbe wewe Ndo muuzaji!!!!
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwamba mtu mwenye ELIMU kiwango Cha Doctorate, tena kiongozi mkubwa wa pili baada ya Rais anaweza simama jukwaani na kuongea Kwa "HISIA"
Siamini ktk Hilo.
Naamini " Uchumi wa Kanda ya ziwa kwa S.Gang unahujumiwa".
Yana mwisho hayo lakini.
Kwanini kansa iwe kanda ya ziwa tu wakati sangara wanaliwa nchi nzima ?Anaogopa soko la Samaki la Tanzania kuporomoka kwenye soko la Dunia.
Na mchicha nao ulitajwa kuathiriwa na moshi wa magariHaya ndio maswali tunayopaswa kujiuliza kwa sasa , kwamba Je kuna ukweli wa haya nambo au ndio tusubiri kanusho la Kuku au tusubiri kuambiwa Ng'ombe nao wanamekula majani yenye sumu ?
Je Kuna njama za kuwafanya Watanzania wote Vegetarians ?
Mkuu,Sasa tule michicha na michembe tu!
Duh !Na mchicha nao ulitajwa kuathiriwa na moshi wa magari
Mtori unapikwa kwa vitu gani ?Kula mtori
Huyu Waziri naye ana upungufu mkubwa. Atawezaje kusema kuwa watanzania wapo salama wakati tunaambiwa kuwa 60% ya wagonjwa wote wa saratani wanatoka kanda ya Ziwa?Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu.
Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo kweli na ndio maana Makamu wa Rais (Phillip Mpango) ameagiza Wizara ya Afya ifanyie utafiti ili kama kuna kitu cha aina hiyo kizuiwe mara moja.
“Niwatoe hofu Watanzania, wapo salama na hakuna shaka yoyote juu ya taarifa hizo.”
NdiziMtori unapikwa kwa vitu gani ?