Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Nimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
Yetu macho na masikio.Ndiyo ni Wahuni haya nenda sasa ukawatafsirie , ...
Nilishauri serikali ingekaa kimya na kuwa na msemaji mmoja mwenye akili na busara...
Ngoja wenyewe wasikie wanaitwa wahuni... Hapo ndipo mnazidi kuchochea hasira na maamuzi yao magumu..
..wao wakituita nyani ni sawa eti? Mbona mtu mweupe amekuwa mungu mtu jamani..Nilishauri serikali ingekaa kimya na kuwa na msemaji mmoja mwenye akili na busara...
Ngoja wenyewe wasikie wanaitwa wahuni... Hapo ndipo mnazidi kuchochea hasira na maamuzi yao magumu..
Yetu macho na masikio.
Hivi si hawa wanaofadhili miradi ya umeme mnayojisifu nayo?Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Kiingereza chake ni hooligans. tusubiri wasikie.
kwanini wanasiasa wa safari hii hawana maarifa kiasi hiki?
Kwa mambo yanayotokea africa, nafikiri hilo jina ni sahihi.Tunaitwaga nyani na hushangai! Mkuu hebu tukalale wenye nchi watayamaliza
Kumbuka hao wahuni bado mnahitaji msaada wao ktk ufadhiri wa madawa ya TB na HIV, na kuchangia bajeti ya maendeleo...
Hao mnao waita wahuni mnawabwekea Kama mbwa huku mkia mmeukunja...
Hivi si hawa wanaofadhili miradi ya umeme mnayojisifu nayo?
Si hawa wanaochangia asilimia karibu 40 ya Bajeti ya nchi?
Wababe na wenye Jeshi imara endeleeni.Kwa hiyo unataka usema nini sasa ? Mbona wao hawalalamiki kuitwa majina wewe kinakuwasha nini kwani wewe ni Muzungu? Unajua Muzungu anaitwa majina na kutukanwa kwa kiasi gani Dunia hii aje kujali sisi kumuita Muhuni ?