Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Na unafikiri Muzungu anaamua kushirikiana na nchi xyz kwa kumuimbia mapambio na kumlamba makalio ?

Rudia kusoma 👆. Umeandika upuuzi usio eleweka. Acha fikra za kudhania kuwa na fikra halisi..

Jitahidi kutumia lugha ya staha... Usitumie lugha za chooni.

Subiri Magu aongelee ili suala nakwambia atamkana Kabudi kwa kauli zake...
 
..wao wakituita nyani ni sawa eti? Mbona mtu mweupe amekuwa mungu mtu jamani..
Wao wakuite nyani kisha wakupe vyandarua na ARVs bure. Nyani wa msitu gani wamepewa vyandarua na USAID, EU, WB.

Hatuwezi kuwa maskini tena tunategemea misaada yao kisha tufyatue midomo namna hii. Mwanadiplomasia anaongea kama mvuta bangi wa Unga Limited.
 
Mkiitwa wapumbavu na malofa

Hamchanganyikiwi ila mzungu tena baadhi mnaharisha.
 
Rudia kusoma 👆. Umeandika upuuzi usio eleweka. Acha fikra za kudhania kuwa na fikra halisi..

Jitahidi kutumia lugha ya staha... Usitumie lugha za chooni.

Subiri Magu aongelee ili suala nakwambia atamkana Kabudi kwa kauli zake...

Muzungu hajali unamuitaje, kama majina anaitwa sana tu, Muzungu ni capitalist na capitalist anaangalia profit, unaweza kumuita unavyotaka, haibadilishi kitu, sasa jipendeze wewe unavyoweza hata uza utu wako lkn hautopata upendeleo wowote unaoutegemea kutoka kwa Muzungu kwa kujipendekeza kwake, ...
 
1605992136659.png
 
Wababe na wenye Jeshi imara endeleeni.

Na wewe endelea kujipendeza ukitegemea kwamba utapata ,,special treatment '' kwa Muzungu, hii Dunia haiendi hivyo, siyo swala la kujipendekeza bali ni what you bring on table ndiyo inamata mwisho wa siku, watu wanaangalia ni ni deal au siyo deal basi, na siyo sijui unamuita majina gani, gat it ?
 
Time will tell.
 
Muzungu hajali unamuitaje, kama majina anaitwa sana tu, Muzungu ni capitalist na capitalist anaangalia profit, unaweza kumuita unavyotaka, haibadilishi kitu, sasa jipendeze wewe unavyoweza hata uza utu wako lkn hautopata upendeleo wowote unaoutegemea kutoka kwa Muzungu kwa kujipendekeza kwake, ...

Muzungu ndio nn?
Yaan ulivyo Ni quote na unayoandika Ni tofauti kabisa... Usinipotezee muda.
 
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Bei ya leo ya mafuta ya kula ni shilling 80,000/= kwa dumu la lita 20.

Viwete wanatembea, vipofu wanaona, viziwi watasikia tu.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo ni Wahuni haya nenda sasa ukawatafsirie , ...
Kila balozi ina mtu wa kutafsiri wanakuja nae kutoka kwao .tena wanajua kiswahili cha uswaz
Ujumbe umefika tusubiri majibu ya kihuni kutoka kwa wahni .
Ndio head of tanzania diplomacy huyuu
 
Kila balozi ina mtu wa kutafsiri wanakuja nae kutoka kwao .tena wanajua kiswahili cha uswaz
Ujumbe umefika tusubiri majibu ya kihuni kutoka kwa wahni .
Ndio head of tanzania diplomacy huyuu

Muzungu hajali vitu vidogo kama hivyo, Muzungu ni capitalist anaangalia profit, hicho ndicho kinachoongoza policy zake na siyo sijui umemuitaje hayo ni yenu wajinga mnaoumia kiasa sijui umeitwa jina gani, haya kapigane sasa Muzungu wako keshaitwa muhuni ili tujue kweli umeumia na kukasirika, ...
 
Asione simba kanyeshewa akadhani ni mbwa! Akikauka patakuwa hapatoshi
 
Back
Top Bottom