Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Tuliumbwa kama manyani ndo evolution inavyosema
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
 
Sasa ndg yangu mtu mwenyewe kaokotwa jalalani means he was a rubbish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiingereza chake ni hooligans. tusubiri wasikie.

kwanini wanasiasa wa safari hii hawana maarifa kiasi hiki?
 
Kachemsha,katumia lugha za washenzi,jazba.. Kama mwanadiplomasia kiongozi,huwezi kuongea vile..tena profesa (wa majalalani),mtoto wa padre..
Rest in Peace Jasusi Mbobezi Mahiga. Huyu tuliyeachiwa sasa ni shida tupu
 
Vijana wa Bavicha mbona mnahangaika sana.

Hakuna sehemu Waziri alipowaita wabunge wa Ulaya wahuni. Sikiliza ujumbe uuelewe.

Tatizo la Bavicha, mmeshindwa uchaguzi, mmeshindwa kuandamana, mgombea wenu kawatelekeza, sasa mnahangaika tu, hamna cha kushika.
Uchaguzi upi umefanyika Tanzania? Maandamano yapi? Maandamano tarehe 2 lakini tarehe 1 Polisiccm wakawakamata viongozi wa upinzani? hapo nani muoga? Wapinzani au CCM na Polisiccm? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Mabwana zako ndio maana unaomba £ mil 27 hivi umewahi jiuliza ni lini Ulaya waliomba msaada Africa? Ndio ujue nani ni bwana na Nani ni Bibi, Bwana gani anaomba msaada?.
 
European thugs,[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mabwana zako ndio maana unaomba £ mil 27 hivi umewahi jiuliza ni lini Ulaya waliomba msaada Africa? Ndio ujue nani ni bwana na Nani ni Bibi, Bwana gani anaomba msaada?.

Kwani wewe ni Muzungu ?
 
Kila balozi ina mtu wa kutafsiri wanakuja nae kutoka kwao .tena wanajua kiswahili cha uswaz
Ujumbe umefika tusubiri majibu ya kihuni kutoka kwa wahni .
Ndio head of tanzania diplomacy huyuu
Unenikumbusha niliwahi kupiga kozi moja ya basic of Journalism MAMET na jamaa toka ubalozi WA SA alidai kazi yake pamoja na nyingine, kila siku asubuhi anapitia magazeti yote na kuyaandikia ripoti Kwa balozi. Kwa hiyo wanataarifa tayari kuwa wameitwa wahuni.
 
  • Thanks
Reactions: lum
Back
Top Bottom