Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Leo hii kutumia lugha hiyo kwa hii Bunge lao utaacha kuitwa ukajieleze?

Kabudi ajue moto ukiwaka, anaweza kutolewa kafara kwa kupigwa chini kuwatuliza hao wahisani.

Tusubiri magazeti makubwa ya Ulaya na Marekami kuripoti hii habari ya kuwaita baadhi ya wabunge wa Bunge la Ulaya wahuni alafu tuone kama watatuvumilia.

Time will tell.
Ila aliyekuosha akili na msifu. Anaijua kazi yake. Chakusikitisha yawezekana wewe ni miongoni baadhi ya diaspora walipitisha akili kwenye mashine za "Omo " ya Ulaya ama Marekani! Hata hivyo siyo sifa nzuri kwa Mtanzania anayeitakia mema nchi yake!
 
Muzungu hajali vitu vidogo kama hivyo, Muzungu ni capitalist anaangalia profit, hicho ndicho kinachoongoza policy zake na siyo sijui umemuitaje hayo ni yenu wajinga mnaoumia kiasa sijui umeitwa jina gani, haya kapigane sasa Muzungu wako keshaitwa muhuni ili tujue kweli umeumia na kukasirika, ...
Wajinga jinga kama akina ndugai na babu yenu wanaokasirika kwa kaneno kadogo tu "dhaifu"
 
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Kwahiyo na wewe unayemlamba kinye jiwe,anakuthamini?
 
Leo hii kutumia lugha hiyo kwa hii Bunge lao utaacha kuitwa ukajieleze?

Kabudi ajue moto ukiwaka, anaweza kutolewa kafara kwa kupigwa chini kuwatuliza hao wahisani.

Tusubiri magazeti makubwa ya Ulaya na Marekami kuripoti hii habari ya kuwaita baadhi ya wabunge wa Bunge la Ulaya wahuni alafu tuone kama watatuvumilia.

Time will tell.
Hahahaha makamanda mnasubiri media kubwa kama New York Times, ABC News, CNN wampige fimbo Prof. Kabudi! Vyombo vya habari tangu kuwepo kwake huwa vinatafuta maslahi kama wewe ulivyo na njaa! Kamwe bila kuona maslahi na Tanzania hawataandika habari yako!
Museveni yupo anawatandika viboko na kuwafunga akina Bob Wine ... Hatujaona hizo media zako unazozitegemea zikipaza sauti kukemea, kwanini...kuna wenzao wanachimba mafuta pale hivyo hawataki kuharibu "maslahi"
Napinga sana uonevu, ila nawadharau Sana wanaamini kuwa mtetezi wao ni mjukuu wa Carl Peters, Wazungu wanatamani Afrika nzima tupewe bunduki tuuane ili wabebe raslimali vizuri kama wanvyobeba za Congo na Libya!
 
Nimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
Wewe msukuma gani muoga hivyo..
Kipi kinakufanya mpaka usiamini ulaya kuwa hakuna Wahuni?

Wasingekuwa Wahuni wangeacha familia zao kuja kuwapiga mababu zetu mijeredi na kuwa pokonya mali zao?

Narudia Tena hao ni "WAHUNI KAMA WAHUNI WENGINE TU".
 
Imefika point hadi kujitamburisha MIMI MTANZANIA huku nilipo nimeanza kuona aibu maana najua tu watauliza wewe ndo unatoka kwenye viongozi vichaa
 
Vijana wa Bavicha mbona mnahangaika sana.

Hakuna sehemu Waziri alipowaita wabunge wa Ulaya wahuni. Sikiliza ujumbe uuelewe.

Tatizo la Bavicha, mmeshindwa uchaguzi, mmeshindwa kuandamana, mgombea wenu kawatelekeza, sasa mnahangaika tu, hamna cha kushika.
Ndio kiziwi ama?kwa hiyo hukusikia?
 
Badala ya kujibu hoja pesa zao za COVID-19 billion74 zilitumikaje...yeye anaanza kung'aka.

Aliyotuambia Lissu kwenye kampeni nayaona yaja.
 
kutoka kushangilia jamaa kuulizia pesa zao,mpaka kulalamika kwa niaba yao kwamba wametukanwa[emoji23][emoji23][emoji23].

ukiwa mpizani tz unakuwa kiazi mbatata sana.
 
Badala ya kujibu hoja pesa zao za COVID-19 billion74 zilitumikaje...yeye anaanza kung'aka.

Aliyotuambia Lissu kwenye kampeni nayaona yaja.

ukiwa unamdai mtu,akakuita mpuuzi kuna dalili ya kukulipa hapo kweli!!!!

au mpaka umshinikize!!
 
Back
Top Bottom