Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Wewe ulivyoitwa shit hole ulijisikiaje?
Naona watu wana munkari usio na kichwa wala miguu. Donald ndio nadhani unarefer kama alitumia term hii. Lakini bunge la uyala haliwakilishwi na Trump. Kiilivyo europeans wengi wamechukizwa na raisi wa marekani na wengi wana hamu aondoke madarakani maana ni mtu wa ovyo ovyo kupita kiasi.
 
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Yaan kama mngekuwa mnajitegemea wenyewe kwa kila kitu bila kuhitaji hao wazungu basi tungekuwa na ujasiri mkubwa sana lakini kosa kubwa ninkutawaliwa hilo tu ndio tatizo kubwa kwetu na ndilo linalo tunyima ujaasiri.
Lakin sasa tuna kusanya nusu ya mahitaji yetu kwa mwaka na nusu nyingine tunawasubiri hao tunao waita wahuni wachache watuletee mh!!
 
Labda nikuulize kwani wewe ni Muzungu ?
 
Kuwa na heshima mkuu wote tuna uchungu na hii nchi.
Isije ikaonekana kuwa wengine ni wasaliti kwenye mambo yanayoihusu nchi. Lets all be aware of the international politics and relations
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
 
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
KWAHISANI.jpg
KWAHISANI.jpg
 
Sasa hivi mwendo ni kuondoka na UGALI, wakitishia kumwaga mboga. This kind of responsible & audacious leadership is what we have been craving for too long.
 
Kuwa na heshima mkuu wote tuna uchungu na hii nchi.
Isije ikaonekana kuwa wengine ni wasaliti kwenye mambo yanayoihusu nchi. Lets all be aware of the international politics and relations

Sijakuelewa ulichomaanisha unaweza kufafanua zaidi kama ukipenda, ...
 
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Bora nawe umemwambia. Salary Slip analamba sana kinyeo cha wazungu. Kila siku lugha yake ni kuweka macho na kusikia hao wazee wake wa mambo ya faragha. Hasara kweli kwa wazazi wake
 
Hivi si hawa wanaofadhili miradi ya umeme mnayojisifu nayo?

Si hawa wanaochangia asilimia karibu 40 ya Bajeti ya nchi?
Ndio hawa hawa
Tumevurugwa na tumevurugika na sasa wanakuja kutuvuruga tutajuta mzungu ni mungu apa dunia
 
Watakua wameshajua sasa tutatapika zile hela za covid tulizopewa
Nilishauri serikali ingekaa kimya na kuwa na msemaji mmoja mwenye akili na busara.

Ngoja wenyewe wasikie wanaitwa wahuni. Hapo ndipo mnazidi kuchochea hasira na maamuzi yao magumu..
 
Back
Top Bottom