wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
Na unafikiri Muzungu anaamua kushirikiana na nchi xyz kwa kumuimbia mapambio na kumlamba makalio ?
Wao wakuite nyani kisha wakupe vyandarua na ARVs bure. Nyani wa msitu gani wamepewa vyandarua na USAID, EU, WB...wao wakituita nyani ni sawa eti? Mbona mtu mweupe amekuwa mungu mtu jamani..
Rudia kusoma π. Umeandika upuuzi usio eleweka. Acha fikra za kudhania kuwa na fikra halisi..
Jitahidi kutumia lugha ya staha... Usitumie lugha za chooni.
Subiri Magu aongelee ili suala nakwambia atamkana Kabudi kwa kauli zake...
Wababe na wenye Jeshi imara endeleeni.
Time will tell.Na wewe endelea kujipendeza ukitegemea kwamba utapata ,,special treatment '' kwa Muzungu, hii Dunia haiendi hivyo, siyo swala la kujipendekeza bali ni what you bring on table ndiyo inamata mwisho wa siku, watu wanaangalia ni ni deal au siyo deal basi, na siyo sijui unamuita majina gani, gat it ?
Mbona kuna nyani weupe?..wao wakituita nyani ni sawa eti? Mbona mtu mweupe amekuwa mungu mtu jamani..
Muzungu hajali unamuitaje, kama majina anaitwa sana tu, Muzungu ni capitalist na capitalist anaangalia profit, unaweza kumuita unavyotaka, haibadilishi kitu, sasa jipendeze wewe unavyoweza hata uza utu wako lkn hautopata upendeleo wowote unaoutegemea kutoka kwa Muzungu kwa kujipendekeza kwake, ...
Time will tell.
Bei ya leo ya mafuta ya kula ni shilling 80,000/= kwa dumu la lita 20.Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Ukiniambia lini wabunge wa bunge la umoja wa ulaya walimuita Magufuli nyani, kesho najiunga CCM..wao wakituita nyani ni sawa eti? Mbona mtu mweupe amekuwa mungu mtu jamani..
40? [emoji15]Hivi si hawa wanaofadhili miradi ya umeme mnayojisifu nayo?
Si hawa wanaochangia asilimia karibu 40 ya Bajeti ya nchi?
Kila balozi ina mtu wa kutafsiri wanakuja nae kutoka kwao .tena wanajua kiswahili cha uswazNdiyo ni Wahuni haya nenda sasa ukawatafsirie , ...
Kwani hamkuona mabango nchi nzima? Hamjaona V8 za kijani mpaka zikamtia wehu Polepole?
Warudishe pesa za watu kama wana uwezo wa kusali siku tatu na kuondoa corona.Kwani hamkuona mabango nchi nzima? Hamjaona V8 za kijani mpaka zikamtia wehu Polepole?
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Kila balozi ina mtu wa kutafsiri wanakuja nae kutoka kwao .tena wanajua kiswahili cha uswaz
Ujumbe umefika tusubiri majibu ya kihuni kutoka kwa wahni .
Ndio head of tanzania diplomacy huyuu