Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

Ila aliyekuosha akili na msifu. Anaijua kazi yake. Chakusikitisha yawezekana wewe ni miongoni baadhi ya diaspora walipitisha akili kwenye mashine za "Omo " ya Ulaya ama Marekani! Hata hivyo siyo sifa nzuri kwa Mtanzania anayeitakia mema nchi yake!
 
Wajinga jinga kama akina ndugai na babu yenu wanaokasirika kwa kaneno kadogo tu "dhaifu"
 
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Kwahiyo na wewe unayemlamba kinye jiwe,anakuthamini?
 
Hahahaha makamanda mnasubiri media kubwa kama New York Times, ABC News, CNN wampige fimbo Prof. Kabudi! Vyombo vya habari tangu kuwepo kwake huwa vinatafuta maslahi kama wewe ulivyo na njaa! Kamwe bila kuona maslahi na Tanzania hawataandika habari yako!
Museveni yupo anawatandika viboko na kuwafunga akina Bob Wine ... Hatujaona hizo media zako unazozitegemea zikipaza sauti kukemea, kwanini...kuna wenzao wanachimba mafuta pale hivyo hawataki kuharibu "maslahi"
Napinga sana uonevu, ila nawadharau Sana wanaamini kuwa mtetezi wao ni mjukuu wa Carl Peters, Wazungu wanatamani Afrika nzima tupewe bunduki tuuane ili wabebe raslimali vizuri kama wanvyobeba za Congo na Libya!
 
Nimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
Wewe msukuma gani muoga hivyo..
Kipi kinakufanya mpaka usiamini ulaya kuwa hakuna Wahuni?

Wasingekuwa Wahuni wangeacha familia zao kuja kuwapiga mababu zetu mijeredi na kuwa pokonya mali zao?

Narudia Tena hao ni "WAHUNI KAMA WAHUNI WENGINE TU".
 
Imefika point hadi kujitamburisha MIMI MTANZANIA huku nilipo nimeanza kuona aibu maana najua tu watauliza wewe ndo unatoka kwenye viongozi vichaa
 
Ndio kiziwi ama?kwa hiyo hukusikia?
 
Badala ya kujibu hoja pesa zao za COVID-19 billion74 zilitumikaje...yeye anaanza kung'aka.

Aliyotuambia Lissu kwenye kampeni nayaona yaja.
 
kutoka kushangilia jamaa kuulizia pesa zao,mpaka kulalamika kwa niaba yao kwamba wametukanwa[emoji23][emoji23][emoji23].

ukiwa mpizani tz unakuwa kiazi mbatata sana.
 
Wewe ulivyoitwa shit hole ulijisikiaje?
 
Badala ya kujibu hoja pesa zao za COVID-19 billion74 zilitumikaje...yeye anaanza kung'aka.

Aliyotuambia Lissu kwenye kampeni nayaona yaja.

ukiwa unamdai mtu,akakuita mpuuzi kuna dalili ya kukulipa hapo kweli!!!!

au mpaka umshinikize!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…