shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,396
..wao wakituita nyani ni sawa eti? Mbona mtu mweupe amekuwa mungu mtu jamani..
Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Kabudi ni profesa wa ajabu kupata kutokea DunianiNimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
Kiingereza chake ni hooligans. tusubiri wasikie.
kwanini wanasiasa wa safari hii hawana maarifa kiasi hiki?
Rest in Peace Jasusi Mbobezi Mahiga. Huyu tuliyeachiwa sasa ni shida tupuKachemsha,katumia lugha za washenzi,jazba.. Kama mwanadiplomasia kiongozi,huwezi kuongea vile..tena profesa (wa majalalani),mtoto wa padre..
Uchaguzi upi umefanyika Tanzania? Maandamano yapi? Maandamano tarehe 2 lakini tarehe 1 Polisiccm wakawakamata viongozi wa upinzani? hapo nani muoga? Wapinzani au CCM na Polisiccm? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniVijana wa Bavicha mbona mnahangaika sana.
Hakuna sehemu Waziri alipowaita wabunge wa Ulaya wahuni. Sikiliza ujumbe uuelewe.
Tatizo la Bavicha, mmeshindwa uchaguzi, mmeshindwa kuandamana, mgombea wenu kawatelekeza, sasa mnahangaika tu, hamna cha kushika.
Bora yeye kawaita wahuni wachache mm nawaita ki kinga uuumbwaaaaaNimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
Bora yeye kawaita wahuni wachache mm nawaita ki kinga uuumbwaaaaaNimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
Mabwana zako ndio maana unaomba £ mil 27 hivi umewahi jiuliza ni lini Ulaya waliomba msaada Africa? Ndio ujue nani ni bwana na Nani ni Bibi, Bwana gani anaomba msaada?.Kawatafsrie mabwana zako, kwa akili yako ndogo unafikiri Muzungu anakuthamini wewe unayemlamba kinyeo kuliko mimi ninayempa makavu ? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo hata wewe umezaliwa na baba na mama pia kama hao unawatukuza, ...
Mabwana zako ndio maana unaomba £ mil 27 hivi umewahi jiuliza ni lini Ulaya waliomba msaada Africa? Ndio ujue nani ni bwana na Nani ni Bibi, Bwana gani anaomba msaada?.
Unenikumbusha niliwahi kupiga kozi moja ya basic of Journalism MAMET na jamaa toka ubalozi WA SA alidai kazi yake pamoja na nyingine, kila siku asubuhi anapitia magazeti yote na kuyaandikia ripoti Kwa balozi. Kwa hiyo wanataarifa tayari kuwa wameitwa wahuni.Kila balozi ina mtu wa kutafsiri wanakuja nae kutoka kwao .tena wanajua kiswahili cha uswaz
Ujumbe umefika tusubiri majibu ya kihuni kutoka kwa wahni .
Ndio head of tanzania diplomacy huyuu
Kijapo kiburi ndipo aibu huibukaNimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
Ndio maana wanatumika na makahaba kama Robert Amsterdam na Tundu Lisu na ZitoNimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
hoja ni kuwa mabeberu wanawajengea barabara, halafu mnaenda kwao kuchukua pesa kwa ajli ya ugonjwa wa covid19 mnafanyia mambo mengineKwa hiyo, hoja yako ni ipi sas hapo ?