residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
"Two wrongs don't make it right".Mbowe hakuwa mfanyabiashara na mbunge!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Two wrongs don't make it right".Mbowe hakuwa mfanyabiashara na mbunge!?
Wewe ndio umepoteza mwelekeoNchi imepoteza mwelekeo.
Dalili ya wivu huanza kwa malalamikoNi utetezi wa kijinga na kipumbavu toka Kwa waziri!!
Anawezaje kuhalalisha makosa yake Kwa utetezi wa mbona fulani naye alifanya hivyo?
Kwa ukiri huu, ni wazi sasa kuwa, kumbe Tundu Lissu yuko damn right na kamwe hajawasingizia wote aliowataja akiwemo yeye Hussein Bashe kumiliki kampuni ya ununuzi wa tumbaku na akiwakopa wakulima huko Tabora...
==============================================
Pia kumbe ni kweli, Mwenyekiti wa bodi ya pamba ni ndugu Christopher Gachuma mjumbe wa halmashairi kuu ya CCM taifa ambaye pia ni;
1. Nidiye mnunuzi mkuu wa pamba Tanzania..
2. Ni mmoja wa wamiliki wa vinu vya kuchambulia pamba (ginneries)
3. Ni Mwenyekiti wa bodi ya pamba, bodi inayopanga bei ya pamba ya wakulima na wakati huohuo huyu Gachuma na bodi yake ndiyo isimamie maslahi ya wakulima wa pamba..
=====hapa pana mgongano wa maslahi na ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma=====
================================================
Kumbe naye huyu Hussein Bashe ni mmoja wa wamiliki wa kampuni za ununuzi wa tumbaku huko Tabora na anawakopa wakulima badala ya nipe nikupe..
Halafu wakati huo huo Hussein Bashe ndiye waziri mwenye dhamana ya kilimo na kusimamia maslahi ya wakulima wakiwemo hao wa tumbaku huko Tabora..
====Katika mazingira haya, tusemeje? Je, sio kwamba huu ni mgongano wa maslahi ya umma na ukiukwaji wa sheria na kanuni za maadili ya viongozi wa umma====?
Je, ni halali na inaingia akilini kwa waziri kujitetea kwa kusema mbona fulani naye alifanya kosa kama hilo?
Hili jambo angeacha lisemwe na wasio na mgongano wa maslahi. Atulie atadhalilika
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo kuwaminya wakulima linapokuja suala la kupanga bei.
Bashe ameyasema haya katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Waandishi wa habari leo 3/9/2023
Bashe kajibu kisiasa na kutoongelea mgongano wa maslahi kwa viongozji hao wa CCM kujiingiza kwenye biashara hiyo huku wakiwa kwenye uongozi wa bodi hizo.

Kumbe sometimes kichwani unakuwaga siyo MTUPUWaziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa?
Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya. Kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!!kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa.
Kitu ambacho hakijui Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.