Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
kuna muda nikasikia Rais kaidhinisha kuingiza tani kadhaa za mchele kufidia upungufu wa chakula, sasa nikashangaa Rais na waziri wake awawasiliani ama ni vipi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuondoleeni upuuzi wenu.....unatetea export ya mazao ya chakula?Acha upotoshaji mkuu, unajua faida ya export kwenye uchumi wa nchi au unaleta tu ushabiki wa
Ukitaka kuwa fukara nchi hii kuwa mkulima. Unalima wewe masoko/bei wanapanga wengine.
Mkulima hafaidiki, wanafaidika gurus wa biashara ya nafaka.Bei iöipofila hata kisipouzwa nje Mkulima amafaidika
Hahahah kajamaa kamepigwa za uso na mkuu wake! Lakini Rais Samia amechelewa sana kwani madhara yameshakuwa makubwa sana kila bidhaa haishikiki kabisa ile fungulia mbwa ilikuwa ya kijinga sana tena sana!..
Leo Hii ukipata bahati ya kufika Kiteto eneo la pori namba moja, utawaonea huruma hao wakulima kutokana na gharama wanazoingia na kipato wanachopata .Hahahah kajamaa kamepigwa za uso na mkuu wake! Lakini Rais Samia amechelewa sana kwani madhara yameshakuwa makubwa sana kila bidhaa haishikiki kabisa ile fungulia mbwa ilikuwa ya kijinga sana tena sana!
Hii ndiyo hoja kuntu.Ukitaka kuwa fukara nchi hii kuwa mkulima. Unalima wewe masoko/bei wanapanga wengine.
We kilaza.Acha upotoshaji mkuu, unajua faida ya export kwenye uchumi wa nchi au unaleta tu ushabiki wa kipumbavu hapa,
Ukiharibu soko la wakulima mwakani uzalishaji unapangua then bei itapanda vilevile
Sina hakika ila anayezuia export ya mazao ndo anapaswa kujiuzulu sio Mhe Bashe
Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha wafanya biashara wenzake (middle men) na makangomba.
Alisikika akiapa kuwa katika utawala wake kamwe hatakubali kuzuia wakulima kuuza chakula nje ya nchi. Alisema piga ua hatakubali kwenye kipindi chake cha uwaziri. Tulishuhudia raia wa nchi za nje wakienea kwenye vijiji vyetu wakinunua mchele, mahindi, maharage na kadhalika hadi yaliyokuwa bado yako shambani.
Tulishuhudia maelfu ya ma semi trela yaliyosheneni vyakula kila siku yakipeleka chakula hicho nchini Kenya hadi Somalia. Bei ya vyakula huko Kenya ikawa nafuu sana ukilinganisha na huku kwetu ambako ambako bei zilipaa kwa zaidi ya 150%. Watanzania walio wengi wakawa hawa uwezo wa kupata zaidi ya mlo mmoja kwa siku.
Ikafika wakati nchi yetu ikawa na upungufu mkubwa wa chakula hadi ikabidi ianze kununua chakula kutoka nchi zingine hususani Zambia kwa kutumia akiba yetu ya pesa za kigeni (USD) na kusababisha uhaba mkubwa wa pesa hizo huko BoT hadi sasa. Hivyo wafanyabiashara wa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi wakawa wanakosa pesa (USD) za kuagizia bidhaa hizo.
Baada ya agizo hilo la leo kutoka kwa Rais Samia kupiga marufuku uuzaji vyakula nje ya nchi, huyu waziri wa kilimo anapaswa kujitathmini na kuachia ngazi kama alivyotuapia katika utawala wake.
Bashe yupo sahihi sana kilimo ni biashara kama biashara zingine inatakiwa wakulima waone faida ya kilimo ili wengi wakalime , kama hakina faida nani atawekeza hela zake na muda knye kitu kisicholipa?Mungu anawaumbua taratibu!
Yale mataahira ya bashe hapa ndani sijui yana hali gani?
huo utakuwa upumbavu wa ajabu, bora kilo ifike elfu 10 ili watu wengi waende kulimakuna muda nikasikia Rais kaidhinisha kuingiza tani kadhaa za mchele kufidia upungufu wa chakula,sasa nikashangaa Rais na waziri wake awawasiliani ama ni vipi!
Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha wafanya biashara wenzake (middle men) na makangomba.
Alisikika akiapa kuwa katika utawala wake kamwe hatakubali kuzuia wakulima kuuza chakula nje ya nchi. Alisema piga ua hatakubali kwenye kipindi chake cha uwaziri. Tulishuhudia raia wa nchi za nje wakienea kwenye vijiji vyetu wakinunua mchele, mahindi, maharage na kadhalika hadi yaliyokuwa bado yako shambani.
Tulishuhudia maelfu ya ma semi trela yaliyosheneni vyakula kila siku yakipeleka chakula hicho nchini Kenya hadi Somalia. Bei ya vyakula huko Kenya ikawa nafuu sana ukilinganisha na huku kwetu ambako ambako bei zilipaa kwa zaidi ya 150%. Watanzania walio wengi wakawa hawa uwezo wa kupata zaidi ya mlo mmoja kwa siku.
Ikafika wakati nchi yetu ikawa na upungufu mkubwa wa chakula hadi ikabidi ianze kununua chakula kutoka nchi zingine hususani Zambia kwa kutumia akiba yetu ya pesa za kigeni (USD) na kusababisha uhaba mkubwa wa pesa hizo huko BoT hadi sasa. Hivyo wafanyabiashara wa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi wakawa wanakosa pesa (USD) za kuagizia bidhaa hizo.
Baada ya agizo hilo la leo kutoka kwa Rais Samia kupiga marufuku uuzaji vyakula nje ya nchi, huyu waziri wa kilimo anapaswa kujitathmini na kuachia ngazi kama alivyotuapia katika utawala wake.
Kijamaa huwa kinakaza fuvu na kutoa macho kama sangara mbichi kww hoja zisizo na mashiko kabisaWaziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha wafanya biashara wenzake (middle men) na makangomba.
Alisikika akiapa kuwa katika utawala wake kamwe hatakubali kuzuia wakulima kuuza chakula nje ya nchi. Alisema piga ua hatakubali kwenye kipindi chake cha uwaziri. Tulishuhudia raia wa nchi za nje wakienea kwenye vijiji vyetu wakinunua mchele, mahindi, maharage na kadhalika hadi yaliyokuwa bado yako shambani.
Tulishuhudia maelfu ya ma semi trela yaliyosheneni vyakula kila siku yakipeleka chakula hicho nchini Kenya hadi Somalia. Bei ya vyakula huko Kenya ikawa nafuu sana ukilinganisha na huku kwetu ambako ambako bei zilipaa kwa zaidi ya 150%. Watanzania walio wengi wakawa hawa uwezo wa kupata zaidi ya mlo mmoja kwa siku.
Ikafika wakati nchi yetu ikawa na upungufu mkubwa wa chakula hadi ikabidi ianze kununua chakula kutoka nchi zingine hususani Zambia kwa kutumia akiba yetu ya pesa za kigeni (USD) na kusababisha uhaba mkubwa wa pesa hizo huko BoT hadi sasa. Hivyo wafanyabiashara wa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi wakawa wanakosa pesa (USD) za kuagizia bidhaa hizo.
Baada ya agizo hilo la leo kutoka kwa Rais Samia kupiga marufuku uuzaji vyakula nje ya nchi, huyu waziri wa kilimo anapaswa kujitathmini na kuachia ngazi kama alivyotuapia katika utawala wake.
Bunge pia litasimama kwa dakika 2 kumpongeza rasi kwa uchapakazi na kumpongeza raisi kws kazi nzuriAtabadilisha kauli atasema mama kwa upendo mkubwa kabisa amesikia kilio cha wana nchi wake