Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

Kuna wakulima wengi Kwa Hali ya mazao mwaka huu wanaokwenda kukata mitaji kama hawatapata SoMo la uhakika litakaliwasadia kurudisha gharama zao za kilimo , wamelima Kwa gharama kubwa Hali ya mavuno wanakataa mitaji mfano mwengine Kuna Bwana Moja Anaitwa Abdi pale pori namba moja amelima zaidi ya ekari 500 Kwa gharama zaidi ya Milioni 100, unazani Kwa hali ya mwaka huu anaweza kurudisha gharama zake kama hatopata Bei nzuri. Mwingine Tyson anayelimia Ngabolo ametumia zaidi ya Milioni 35, na Mahindi hawezi kuzidi Gunia 400 unafikiria anahitaji apate Bei gani Eli awezi kurudisha gharama zake?
Mfano mwingine Kuna Bwana Mwengi Anaitwa Abdilahi yeye ametumia zaidi 35milioni kwenye mashamba take huko lekumashi , unadhani nayeye ni rahisi kurudisha gharama zake?
 
Kwa wakulima kama hawatapata msaada wa haraka kutoka serikalini, kuangalia jinsi ya kuwapa Ruzuku, Bei nzuri na madoko ya uhakika, mioundo mbinu Bora na ya kisiasa kwenye kilimo Cha umwagiliaji, upatikanaji wa Matrekta Bora na ya kisiasa Kwa Bei rafiki na Kwa mkopo usio na Riba. Kuleta wataalamu wa kilimo wenye weledi , na walioiva kwenye field ya Agriculture. Kuongeza na kuweka msisitizo kwenye SoMo la Agriculture kuanzia shule ya Msingi Hadi Secondary. Karibu mkuu wa wizara, Naibu, mkuregenzi na Naibu wake wawe ni wataalamu wa kilimo waliobobea haswa, Kuangalia ufaulu wa SoMo la Agriculture Kwa. Level ya secondary iwe A ndio Uwezi kwenda kusomea maswala ya Kilimo , tufanye kama kwenye course za Afya
 
Leo Hii wapo wakulima waliofilisika kipindi Kipindi tulipozuia kupeleka Mahindi Kenya pamoja kupewa matrekta ya mikopo ambayo hayaba Uwezo wa kufanya kazi Matrekta ya Farm Truck yamewaumiza sana wakulima ukichangia na Bei ndogo za mazao Leo Hii wamebaki na Madeni makubwa kwenye Matrekta na hayo matrekta yamekufaa, wao wamebaki wanadumbuliwa na mawakala wakujusanta madeni ya hayo matrekta
 
Ana la Kampuni kake Fulani kemehodhi biashara ya tumbaku Kanda ya Magaharibi, anakanasibisha eti kampuni ya wazalendo. HII NCHI HAINA MWANASIASA MWENYE MIKONO SAFI
 
Labda swali la kujilliza liwe Swali, Je, mfaidika wa agizo la Waziri ni nani?

Kuna mengi nyuma ya agizo la Waziri kwa kuwa siyo tu limesababisha upungufu wa mazao ya vyakula nchini na bei zake kuwa juu, ila inalazimu kuagiza vyakula kutoka nje.

Kilichotokea, vyakula vinavyoagizwa ni vile visivyo na lishe (GMO). Kuagiza au kuuza nje kumezua "deal" za vibari Wizarani.
Vile vinali ni dili la watu
 
Shida wanufaika siku zote sio wakulima ni madalali na wale wanaonunua na kuuza,Bei za shamba ziko chini tu shida ni Mtu kati na wafanyabiashara
Huku dodoma gunia la alizeti ni 30k Kwa mkulima je ,mjini wanauza hvyo?!!!mafuta ya alizeti ni 3000 to 3500per litre je huko mjini mnannuaje?!
Acha ujinga, kama huko shamba ni bei rahisi nenda na wewe ukanunue, nani kakukataza?
Unajua chochote kuhusu value chain wewe?

Yaani bei ya gunia la mahindi Songea unataka iwe sawa na bei ya gunia la mahindi Dar? Au mnafikiri hivyo vyakula huko Dar na kwingine huwa vinasambazwa na nini? Mnajua cost zinazokuwa involved kutoka uchambuaji, upakiaji, uhifadhi na hata kusafirisha hicho chakula ninyi?
 
Hicho kilimo cha mahindi kinachotoa gunia 2-3 kwa hekari moja, ni upumbavu.
Kalime wewe mwenye uwezo wa kutoa gunia 10000 na bado unataka maelezo kwa jasho la mkulima.

Mnataka kuvimbiwa kwa bei za kipuuz, mtanyooka tu.
 
Jukumu la serikali yako ni lipi kwenye hili??unadhani ni sahihi kuuza wakati na wewe una high demand kwenye soko la ndani??shortly lazima tufanye protection ya food crops at this point of scarcity. Tungekuwa hatuna uhaba basi it could be fair for us to sell them out. Lakini kwa wajuzi wa soko, tujazalisha in surplus kukizi mahitaji yetu in fully. Kuna mikoa inaandamwa na ukame na haijazaliza, KUNA HAJA GANİ YA KU EXPORT OUR FOOD STOCKS THEN BAADA YA MUDA MFUPİ TUANZE KULALAMİKA UHABA NA KU STRUGGLE KU İMPORT THESAME PRODUCT........ THİNK BİG , KAMA Nİ WAKULİMA WAPEWE RUZUKU YA BEİ YA MAZAO YAO BUT TUSİ KAZANİE EXPORT WHİLE WE ARE İN HİGH DEMAND YA HİZO FOOD CROPS
mnataka kumkandamiza mkulima kwa kununua kwa bei zisizoendana na gharama za uzalishaji halafu mnasema demand
 
Kalime wewe mwenye uwezo wa kutoa gunia 10000 na bado unataka maelezo kwa jasho la mkulima,
Mnalewa kila siku kwa laki halafu chakula mnataka kuvimbiwa kwa bei za kipuuz .
Mtanyooka tu
Mimi siwezi hiyo mipasho na taarabu zako, wasubiri wenye akili ndogo kama zako mbishane.
 
Acha ujinga, kama huko shamba ni bei rahisi nenda na wewe ukanunue, nani kakukataza?
Unajua chochote kuhusu value chain wewe? Yaani bei ya gunia la mahindi aongee unataka iwe sawa na bei ya gunia la mahindi Dar? Au mnafikiri hivyo vyakula huko Dar na kwingine huwa vinasambazwa na nini ninyi, mnajua cost zinazokuwa involved kutoka uchambuaji ,upakiaji ,uhifadhi na hata kusafirisha hicho chakula ninyi?
Kwaa taarifa tu Gunia la Mahindi la KG 108 likikobolewa kinatoa Kg 65-70 za Unga wa sembe, hapo ndio uanze kujumlisha gharama za umeme wa kukobolea, usafishaji Mahindi, kupaki sembe, umebebaji, kulipia leseni, TRA, TFDA, OSHA, Fire certificate, service levy, Kodi ya pango, wafanyakazi.
Ipo haha Serikali kuangalia Hii sector nzima kuanzia mkulima, mfanyabiashara, msafirishaji, Mchakataji/wasindikaji
 
Sahihi Tena hao wakulima wadogo ndo wameishi maisha magumu sana mwaka Jana na mwaka huu baada ya msimu kuisha maaana vyakula vyote wameuza wanaenda nnua Mchele kwa 3500 unga 2000,maisha Yao yalikua magumu sana
Wakulima gani wameishi maisha magumu?
Unawalisha wewe mpaka useme wanaishi maisha magumu? Au wamekuomba nini ?
Mnatia kinyaa sana ninyi, kwa upumbavu huu hii sekta haiinuki kamwe
 
Gharama za kilimo Cha mahindi:-
1. Kukodi ekari Moja ni Tshs 50,000/= eneo pori namba moja
2. Mbegu kg 6 ni Tshs 30,000/=
3. Wapandaji watano. 15,000/=
4. Kulima na Trecta. 40,000/=
5. Palilizi ya kwanza. 30,000/=
6. Palilizi ya pili. 25,0000=
7. Gharama za kuvuna 20,000/=
8. Gharama za kupukucha 25,000/=
9. Kubeba kutoka Shambani. 10,000/=
10. mfuko tupu moja. Bbb 700/=
Jumla ya gharama zote ni zaidi ya 245000/= Kwa ekari Moja, na Ekari Moja unaweza pata kati ya Gunia mbili Hadi tatu. Mwaka huu wengi Mahindi yameshia kwenye lenta Kwa sababu ya jua, na waliovuna wamepata wastani Wagunia Moja Kwa ekari Moja, Sasa unapozuia kuuza Mahindi Kwa Bei yenye madlahi au yenye kurudisha gharama za uzalishaji jioni unamkandamiza huyu mkulima wa Mahindi?

Watu wakae chini waone wanapunguzaji gharama za uzalishaji, Sector ya Kilimo inathiriwa sana na kupanda Kwa Disiel kunapandisha gharama za uzalishaji na uchukuzi.

Unapuuza Disiel Kwa mkulima kipindi Cha Kulima Disiel elikuwa 3000plus, hakuna aliona hiyo athari ya Mafuta kuwa Juu itapandisha Bei za kulimia Kwa matrekta, usafirishaji wa mbegu, kubeba Mazao Shambani,
Ila we ni muongo na unafanya watu wote wajinga kwamba heka moja gunia mbili au tatu kadanganye watoto wa darasa la kwanza
 
Gharama za kilimo Cha mahindi:-
1. Kukodi ekari Moja ni Tshs 50,000/= eneo pori namba moja
2. Mbegu kg 6 ni Tshs 30,000/=
3. Wapandaji watano. 15,000/=
4. Kulima na Trecta. 40,000/=
5. Palilizi ya kwanza. 30,000/=
6. Palilizi ya pili. 25,0000=
7. Gharama za kuvuna 20,000/=
8. Gharama za kupukucha 25,000/=
9. Kubeba kutoka Shambani. 10,000/=
10. mfuko tupu moja. Bbb 700/=
Jumla ya gharama zote ni zaidi ya 245000/= Kwa ekari Moja, na Ekari Moja unaweza pata kati ya Gunia mbili Hadi tatu. Mwaka huu wengi Mahindi yameshia kwenye lenta Kwa sababu ya jua, na waliovuna wamepata wastani Wagunia Moja Kwa ekari Moja, Sasa unapozuia kuuza Mahindi Kwa Bei yenye madlahi au yenye kurudisha gharama za uzalishaji jioni unamkandamiza huyu mkulima wa Mahindi?

Watu wakae chini waone wanapunguzaji gharama za uzalishaji, Sector ya Kilimo inathiriwa sana na kupanda Kwa Disiel kunapandisha gharama za uzalishaji na uchukuzi.

Unapuuza Disiel Kwa mkulima kipindi Cha Kulima Disiel elikuwa 3000plus, hakuna aliona hiyo athari ya Mafuta kuwa Juu itapandisha Bei za kulimia Kwa matrekta, usafirishaji wa mbegu, kubeba Mazao Shambani,
Mm ni mmojawapo ya waliokula hasara,jana tumeanza kuvuna lakini sidhani kama tutarudisha hata gharama zetu
 
Waziri Bashe anatakiwa aweke nguvu kufufua na kuimarisha vyama vya ushirika, hapo wakulima wa chini watafaidika, na ataweza kuwa na control na mfumuko wa bei.
 
Ila we ni muongo na unafanya watu wote wajinga kwamba heka moja gunia mbili au tatu kadanganye watoto wa darasa la kwanza
Unadhani wakulima wamevuna kiasi Gani Kwa ekari Kwa kilimo Cha nchii maeneo ya KITETO? Watu wanalima ekari 500 Bado wanadhindwa kupata Gunia hara 800 ukigawa hapo nisawa Gunia ngapi Kwa ekari? Unaweza kukuta hata Mama yako hajawahi Kulima halafu unaleta ukenge humu jukwaani, Uliza watu waliolima maeneo ya Hemba Hemba, ngomai, makawa, matongolo, mkoka, chetego, magungu, Lugine, Kirashi, maliti, mbande, mbiri, pori namba moja, londoni, lekyimashi, Ngabolo, Matui, Engusero, osteti, seringine, njoro, nailelo, msada, chekanao, kiperesa, mrijo, Zajirwa, kazi ngumu, irela, langitomoni, njia panda, twanga, wizamtima, isiza. Tembelea hayo maeneo uone watu wanavyopata kwenye ekari Moja ya mahindi! Acha kuwa kiazi tumia akili jaribu kufanya utafiti.
 
yeye.pamoja.na..mama.yake..wanakula.matapishi.yao kwa.sababu.walijifanya.wanajua.sana.kufungua.nchi.waendelee mbona macho.yanawatoka.sasa
Watu wamejiajiri kwenye kilimo leo hii unawaambia wasiuze nje unategemea nin?
 
Unadhani wakulima wamevuna kiasi Gani Kwa ekari Kwa kilimo Cha nchii maeneo ya KITETO? Watu wanalima ekari 500 Bado wanadhindwa kupata Gunia hara 800 ukigawa hapo nisawa Gunia ngapi Kwa ekari? Unaweza kukuta hata Mama yako hajawahi Kulima halafu unaleta ukenge humu jukwaani, Uliza watu waliolima maeneo ya Hemba Hemba, ngomai, makawa, matongolo, mkoka, chetego, magungu, Lugine, Kirashi, maliti, mbande, mbiri, pori namba moja, londoni, lekyimashi, Ngabolo, Matui, Engusero, osteti, seringine, njoro, nailelo, msada, chekanao, kiperesa, mrijo, Zajirwa, kazi ngumu, irela, langitomoni, njia panda, twanga, wizamtima, isiza.Tembelea hayo maeneo uone watu wanavyopata kwenye ekari Moja ya mahindi! Acha kywa kiazi tumia akili jaribu kufanya utafiti.
Mimi nilishalima nusu heka shamba la nyumbani nikawapata gunia sita mpaka nane
Kama heka nzima unapata gunia 3 achana na hio biashara ni upumbavu wa hali ya juu sana

Halafu mtu yeyote anayefanya kilimo huwezi mwambia heka moja unapata gunia tatu ni uongo wa hali ya juu na inaonekana hata kilimo hukijui ni mtu wa kuhadisiwa
 
Back
Top Bottom