Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Export inapromote productiveAcha upotoshaji mkuu, unajua faida ya export kwenye uchumi wa nchi au unaleta tu ushabiki wa kipumbavu hapa,
Ukiharibu soko la wakulima mwakani uzalishaji unapangua then bei itapanda vilevile
Sina hakika ila anayezuia export ya mazao ndo anapaswa kujiuzulu sio Mhe Bashe
Nenda kwenye border huko uone kama kuna lori linarusiwa kupitaRais hajazuwia mahindi kuuzwa nje,muwe mnafuatilia habari na kuelewa
Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha wafanya biashara wenzake (middle men) na makangomba.
Alisikika akiapa kuwa katika utawala wake kamwe hatakubali kuzuia wakulima kuuza chakula nje ya nchi. Alisema piga ua hatakubali kwenye kipindi chake cha uwaziri. Tulishuhudia raia wa nchi za nje wakienea kwenye vijiji vyetu wakinunua mchele, mahindi, maharage na kadhalika hadi yaliyokuwa bado yako shambani.
Tulishuhudia maelfu ya ma semi trela yaliyosheneni vyakula kila siku yakipeleka chakula hicho nchini Kenya hadi Somalia. Bei ya vyakula huko Kenya ikawa nafuu sana ukilinganisha na huku kwetu ambako ambako bei zilipaa kwa zaidi ya 150%. Watanzania walio wengi wakawa hawa uwezo wa kupata zaidi ya mlo mmoja kwa siku.
Ikafika wakati nchi yetu ikawa na upungufu mkubwa wa chakula hadi ikabidi ianze kununua chakula kutoka nchi zingine hususani Zambia kwa kutumia akiba yetu ya pesa za kigeni (USD) na kusababisha uhaba mkubwa wa pesa hizo huko BoT hadi sasa. Hivyo wafanyabiashara wa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi wakawa wanakosa pesa (USD) za kuagizia bidhaa hizo.
Baada ya agizo hilo la leo kutoka kwa Rais Samia kupiga marufuku uuzaji vyakula nje ya nchi, huyu waziri wa kilimo anapaswa kujitathmini na kuachia ngazi kama alivyotuapia katika utawala wake.
Then nyamaza na acha kuwapangia wakulima maishaWatanzania mill 60 wote hatuwez kuwa wakulima wote tukiwa wakulima nani atamuuzia mwenzake, na hizo kazi atafanya nani
Usipende kuongozwa na hisi
Wewe ni mkulima? Gunia linaponunuliwa laki na na ishirini kwa mkulima badala ya elfu sitini,mnufaika ni nani!?
Sidhani kama Mh Rais alimaanisha Wakulima wasiuze Mazao yao wanakotaka!Hahahah kajamaa kamepigwa za uso na mkuu wake! Lakini Rais Samia amechelewa sana kwani madhara yameshakuwa makubwa sana kila bidhaa haishikiki kabisa ile fungulia mbwa ilikuwa ya kijinga sana tena sana!
Kwa hiyo maamuzi yake bado yanaonekana ya kjikosha na kumtupia zigo Bashe lakini ukweli ni kwambwa Rais anafanya kila maamuzi ili asionekanane anafanana kimaamuzi na mtangulizi wake hata kama jambo ni la msingi …mwisho wa siku ana kumbuka shuka kumekucha!
Matatizo haya yote yamesababishwa na Rais mwenyewe kwani alikuwepo wakati Bashe anatoa kejeli na kutojali kwa hiyo asijitoe kwenye hili
ExactlyExport inapromote productive
Huku wakulima wakinufaika na Bei nzuriTarget ya Bashe ilikuwa ni kuwasaidia Wasomali wenzake msosi, Mungu ambariki
Acha ujinga wewe,mbona hapa tabora hatufanyiwi hivyo!?..unafikiri wakulima wa Leo ni WA 70-90!?..tuna elimu zetu na tunalimaWafanyabiashara tunayanunua hayo mazao hata kabla mkulima hajajua bei itakuja kuwaje huko sokoni, guts za kupanga bei nikimuwinda shambani hana kwasababu hata mtaji wa kuendeshea hicho kilimo.
Nakubaliana nae nimkopesha 200000 kwa malipo ya 70000 kila gunia, kisha ikifika wakati wa mavuno huko sokoni gunia linasimamia 100000Tsh, nachukua gunia zangu idadi sawa na pesa niliyompa then anabaki na guni zake, mnufaika ni nani?
Wajinga wachache kama wewe waliozoea kutusi hamuwezi kuelewa mambo yanayoendelea field.
Rais samia ameshawapangia tayari hamuuzi nje ya nchi na hayo mamlaka ya kupangia watu cha kuongea umetolea wapiThen nyamaza na acha kuwapangia wakulima maisha
Uko dunia ipi kwenye border huko mahind hayarusuwi kwenda nje ya nchiSidhani kama Mh Rais alimaanisha Wakulima wasiuze Mazao yao wanakotaka!
Mh Rais amesema Serikali itanunua Mazao tani laki Tano kupitia NFRA.
Na akataka Wakulima waiuzie Serikali Mazao kabla ya kuwaza kwenda Nje!
Maana yake ni kwamba Serikali nayo itanunua Nafaka kwa Bei Nzuri kwa Mkulima.
Lakini Mazao Yataendelea kuuzwa kokote wakati Serikali ikifanya Mpango wa kutekeleza Kilimo cha Umwagiliaji ili Wakulima wavune mara 2 kwa Mwaka badala ya mara moja.
Kilimo ni Biashara.
Kila mwenye akili timamu lazima aunge mkono. Ni Mazuzu wachache tu wanaojifanya wakulima Kwa kiwanyonya wakulima.Achana na Bashe, mpongeze mhe. Rais kwa kuliona hilo. Binafsi naunga mkono hoja na Namshukuru sana Mungu kwa kumpa Rais wetu hekima hiyo.