waulize watu wa Nzega wewe inaweza kuwa uko Dar huna unalojua kuna mtu anaitwa Mashili ni tishio nzegaNzega mjini kwa ninavofahamu mimi Bashe anakubalika sana. Hii ni taarifa mpya naisikia kwako.
Kwa Kigwangala ndio kuna shida.
Mwenyewe simpendiUnampenda wewe na nani aliyekupa haki ya kumsemea!!??
Hivi ukiandika kwenye umoja, yaani wewe binafsi, huoni utakuwa umeandika uhalisia kuliko kujumuisha wingi ambao nina uhakika hauna haki hiyo!!??
Huyu babu ni mtu wa hovyo snAlikwishawahi kusema Mgojwa yupo ofisini mzima anachapa kazi. Hawezi kushindwa kusema mtu mgonjwa kumbe yupo sehemu anapiga kazi. Huyu jamaa ahaminiki! Natania!
Sana sio kidogoHuyu babu ni mtu wa hovyo sn
Isije kuwa anapitia ktk maono haya?Pia comment hii ni ya kimkakati sana japo unaweza usijue!!
Mpina ndio kete. Pekee inayotumika na the state walau kuleta discipline ya matumizi ya serikali ya sasa!!
Ikiwa kama kinachosemwa na Mpina kikapuuzwa ni rasmi Sasa wale wacheza rafu kusaidia kupiga mnada rasilimali na kupiga deals watarudishwa walipotoka kabla hawajazaliwa Ili kupunguza madhara kwa jamuhuri!!
Mpina ni well informed elite Kwa Sasa na atakua anafanyia KAZI office kubwa inayoweka viongozi Kwa hatamu!!
Naendelea kuwaza kama mlipakodi nisiekwepa Hulu kijijini!
Natoa Rai Kwa viongozi was chama changu ccm tujifunze kufuata maelekezo ya waliotuamini na kutupa Dola tuiiongoze Kwa muda mrefu namna hii!!Tunapokiuka tunakaribisha maturubai na ulaji wa wali was jumuia misibani!
Nawaza!
Raisi yupo salama anachapa kazi. KassimHuyu Khassim sio wa kumuamini kabisaa, watu wawe makini kuna jambo hapo.
Duuh
Pole inaonekana una hali mbaya sana kimaishalolote limpate fisadi msomali koko
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri Mkuu Nzega.
Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao
View: https://youtu.be/XA4gO6FL94M?si=jM1kUMjS-eik7A3-
Ni kweli nipo Dar, nitawaauliza ndugu zangu waliopo Nzega.waulize watu wa Nzega wewe inaweza kuwa uko Dar huna unalojua kuna mtu anaitwa Mashili ni tishio nzega
HUWA TUNAFICHA WAGONJWA ILI KUWAKWEPA WAZEE WA MISUMARI, WASIJE KUCHOMEKEA HUMO HUMO!MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri Mkuu Nzega.
Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao
View: https://youtu.be/XA4gO6FL94M?si=jM1kUMjS-eik7A3-