Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

Pia comment hii ni ya kimkakati sana japo unaweza usijue!!

Mpina ndio kete. Pekee inayotumika na the state walau kuleta discipline ya matumizi ya serikali ya sasa!!

Ikiwa kama kinachosemwa na Mpina kikapuuzwa ni rasmi Sasa wale wacheza rafu kusaidia kupiga mnada rasilimali na kupiga deals watarudishwa walipotoka kabla hawajazaliwa Ili kupunguza madhara kwa jamuhuri!!

Mpina ni well informed elite Kwa Sasa na atakua anafanyia KAZI office kubwa inayoweka viongozi Kwa hatamu!!

Naendelea kuwaza kama mlipakodi nisiekwepa Hulu kijijini!

Natoa Rai Kwa viongozi was chama changu ccm tujifunze kufuata maelekezo ya waliotuamini na kutupa Dola tuiiongoze Kwa muda mrefu namna hii!!Tunapokiuka tunakaribisha maturubai na ulaji wa wali was jumuia misibani!

Nawaza!
Isije kuwa anapitia ktk maono haya?

Huyu mama kuna jambo alilisema li

View: https://youtu.be/QuwlDhPyPtw?si=1S6lwUwnnYM3_s6i
 
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.

Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri Mkuu Nzega.

Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao

View: https://youtu.be/XA4gO6FL94M?si=jM1kUMjS-eik7A3-

Bashe
 
HUWA TUNAFICHA WAGONJWA ILI KUWAKWEPA WAZEE WA MISUMARI, WASIJE KUCHOMEKEA HUMO HUMO!
 
Back
Top Bottom