MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri Mkuu Nzega.
Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao
View: https://youtu.be/XA4gO6FL94M?si=jM1kUMjS-eik7A3-