ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Hahahah Mh. Bashe alikula hela za Mh. Lowasa ila jamani watu wezi balaa na bado kalamba BBT hahaha, halafu anajidai eti mzalendo wakati mambo yakiwa magumu anasepa zake Somaliland na jamaa zake wengi wezi tu. Ngoja tumuone.Chama kilichounda serikali hii,kwa hiyo chama hicho hakina mamlaka ya kuihoji seriakali yake!?. Ujinga ni mzigo mkubwa sana kichwani.
Ni kweli ilikuwa kauli mbovu sana, hasa ktk kipindi hili sisi chawa tunahangaika kumtafutia Dkt Samia kura toka kwa wananchi, watu wanamaumivu ya vitu vingi. Nadhani soon Zuhura atatoa mkekaWananchi hawawezi kumhoji; yeye ni bosi. Matamko mengine ni ya kijinga sana. Kama waziri hakutakiwa kutoa tamko la kipuuzi kama hilo. Sifa mojawapo kuu ya uongozi ni kuwa humble
Sababu za msingi ni zipiKamuulize Bashe, ila ninachojua ni atakupa sababu za kipuuzi tu ikiwemo hali ya hewa
We unaonaje?Sababu za msingi ni zipi
Umechelewa , game imeisha , bungeni wanauliza maswali ya nyongeza na kugonga meza tuBunge je
Hii kichwa huwa naikubali sana, eti yule ngombe aliyepelekwa Arusha akawa anataka kuleta za kuleta, ooohh kila waziri alete taarifa."Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2885428
View attachment 2885860
Anastahiki pongezi kwa msimamo wako usioyumba.Kumekucha
Kaukana unyonge 😂
Sio mkuu wa Mkoa wa Arusha?Saiv ataitwa na kuhojiwa au kufokewa na Mchengerwa.
Si yuko chini ya tamisemi sasaSio mkuu wa Mkoa wa Arusha?
Vipi tena🤣🤣😂Hahahah Mh. Bashe alikula hela za Mh. Lowasa ila jamani watu wezi balaa na bado kalamba BBT hahaha, halafu anajidai eti mzalendo wakati mambo yakiwa magumu anasepa zake Somaliland na jamaa zake wengi wezi tu. Ngoja tumuone.
Ngoja tumtume waziri wa TAMISEMI aende akamfokee, baada ya siku 2 tunamtuma waziri Nape naye akamfokee.Ningekuwa PM au Waziri, Ijumaa jingeenda Arusha kikazi na kwenda kumfokea na kumuagiza Makonda hadharani. Dogo alijisahau sana kama kawaida yake.