Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Bashe ni mjinga na mwizi mkubwa sijawahi ona waziri wa kilimo wa hivyo kama huyu tena hovyo sana hatakiwi hata kusema kwanza ni mwiziKwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Anajisahau Tu MkuuNa kwenye chama bosi wake nani?
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Kwani yeye ni mtendaji wa chama?
Bashe yupo sahihi. Mawaziri wote na watendaji wengine wote wa Serikali wanawajibika kwa aliyewateua, na siyo mwingine yeyote.
Chama kama kinaona kuna jambo ambalo halipo sawa, kinatakiwa kimhoji Rais ambaye ni kiongozi wa chama na ndiye msimamizi wa Serikali. Msimamizi wa Serikali, ndiye ana uwezo wa kuwahoji wateule wake na watendaji wote wa Serikali.
Makonda ni mpuuzi. Anawarukia watu ambao hawawajibiki kwake wala kwa chama bali kwa serikali na wakuu wa Serikali.
😃😁😀Ajiuzuru ,,kama unafanya kazi sahihii kwann uogope kuhojiwa
Mbona kama umeongea kishabiki,sijaona wapi katajwa Makonda..."Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Makonda amemtaja wapi hapo, we una roho ya kichawi
Kwani polisi watamiuta kumuhoji kama mabosi zake au taasisi za uchunguzi?Kwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂
Kumekucha !"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Jinai ina utaratibu wake kisheria.Kwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂
Kumbuka Rais aliyemteua ni Mwenyekiti wa chama chake, anawasiliana na Bashe kama Rais na Mwenyekiti kwa hiyo anachofanya Mwenezi ni kuuza sura na kutafuta milage ya kisiasa kwake yeye binafsi kupitia chama chake.Kiserikali Bashe yuko sahihi... lakini ukiangalia aina ya mfumo wetu, viongozi wa chama bado ni wakubwa kwa Bashe.
Subiri avunje sheria!! Acha undezi wa ZerobrainKwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂
Kwani serikali iliyopo madarakani ni ya chama gani na Rais ni Mwenyekiti wa chama gani?Ni chama sasa sio serikali hausiani nayo
Polisi ya Tanzania?Kwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂
Asuburi wakati akirudisha fomu ya kuomba CCM kupitishwa kwa jina lake kugombea ubunge au teuzi mbalimbali ndo atajua bosi wake ni nani!!"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613