Alifanyiwa kitu kitaalamu inaitwa kanyabulinza ni maarufu sana kwa wakazi wa ziwa magharibiSasa maana yake ni nini anavyo sema mume katest mitambo kakuta yupo fit! kapata ujauzito au akakojoleshwa?
Sio Hilo tu.Ila mume wa huyu mama ni mvumilivu sana, yani mtu kutestiwa tu mitambo ndio anatangaza kwenye vyombo vya habari
Acha kufuga ujinga wewe,ungekua muelewa unapokosolewa ungeelewa,mpuuzi wewe.Nimekulazimisha uufungue huu Uzi? Silly...!!!
Kwani kaolewa ili wakapige stories ?Duh😂😂😂😂😂so keshafanya keshafanywa au wameshafanya😂😂😂😂
Na badoIla huyu waziri tulipigwa asee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Ila huyu waziri tulipigwa asee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Bila yeye kupata mimba hiyo chanjo siikubaliSasa maana yake ni nini anavyo sema mume katest mitambo kakuta yupo fit! kapata ujauzito au akakojoleshwa?
Aibu sana kwa jamii ya kitanzania kuwa na waziri kama huyo. Aliwe kichwaHuyu mtu kuendelea kuwa waziri ni uhaini!
View attachment 1897859
Ni kweli liko palepale ila sio agenda ya kitaifa, ni suala binafsi halituhusu, kila mtu akitangazia uma kwamba ametestiwa mitambo unapata picha gani, ummy nae atangaze, mama samia nae atangaze, aje dr molell nae atangaze alivyotest mitambo, dr mpango nae... unadhani tutakua taifa la namna gani?Tatizo la Watanzania wanafikiri mtu akiwa "Waziri" au "Rais" anakuwa kama "Malaika".
Jamani eleweni uwaziri ni cheo tu, ubinadamu wa mtu uko pale pale hivyo swala la "kutest mitambo" nalo liko pale pale.
She's so genuine! hanaga mambo ya mchakato au upembuzi yakinifu anasema ukweli in a very short words!I love her 🤣