Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Alifanyiwa kitu kitaalamu inaitwa kanyabulinza ni maarufu sana kwa wakazi wa ziwa magharibiSasa maana yake ni nini anavyo sema mume katest mitambo kakuta yupo fit! kapata ujauzito au akakojoleshwa?