#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Ila mume wa huyu mama ni mvumilivu sana, yani mtu kutestiwa tu mitambo ndio anatangaza kwenye vyombo vya habari
Sio Hilo tu.
Unakumbuka kipindi kile anakimbizwa mchaka mchaka, Mara apigwe nyungu Mara alishwe matunda. Kifupi yule bwana Ni mvumilivu. Nadhani hata akipigwa hawezi kwenda kushtaki.
 
Covid 19 iliyopo Tz itakoma! Madalali wa chanjo wapo moto ile mbaya. Huyu anafanya propaganda kwa kutumia mambo ya kitandani.
 
Kuna watu wanasikia aibu kwa maneno ya kipuuzi ya mtu mwenye wadhifa kama Waziri Gwajima
 
Tatizo la Watanzania wanafikiri mtu akiwa "Waziri" au "Rais" anakuwa kama "Malaika".
Jamani eleweni uwaziri ni cheo tu, ubinadamu wa mtu uko pale pale hivyo swala la "kutest mitambo" nalo liko pale pale.
 
Namkubali sana Dr. Dorith Gwajima,
huyu ni miongoni mwa mawaziri wachakarikaji na wapambanaji ktk awamu hii ya 6.
hapendi ujinga ujinga, yupo stright......ukizingua anakuzingua papo hapo.
 
Huyu mtu sijui walimtoa wapi! Yaani kiongozi unaongea utumbo kila siku haoni haya mambo ni ya aibu!
 
Huyu mtu kuendelea kuwa waziri ni uhaini!
 
Sasa maana yake ni nini anavyo sema mume katest mitambo kakuta yupo fit! kapata ujauzito au akakojoleshwa?
Bila yeye kupata mimba hiyo chanjo siikubali

Tusubiri hao akina mama waliochanja yaani mama Samia na mama Gwajima kama watapata mimba baada ya CHANJO ndio tujue wako fit baada ya chanjo . Ndani ya miezi mitatu hii twaweza ona matokeo Tusubiri.
 
Tatizo la Watanzania wanafikiri mtu akiwa "Waziri" au "Rais" anakuwa kama "Malaika".
Jamani eleweni uwaziri ni cheo tu, ubinadamu wa mtu uko pale pale hivyo swala la "kutest mitambo" nalo liko pale pale.
Ni kweli liko palepale ila sio agenda ya kitaifa, ni suala binafsi halituhusu, kila mtu akitangazia uma kwamba ametestiwa mitambo unapata picha gani, ummy nae atangaze, mama samia nae atangaze, aje dr molell nae atangaze alivyotest mitambo, dr mpango nae... unadhani tutakua taifa la namna gani?
 
Back
Top Bottom