#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Kuna hatari ya Serikali kusheheni wana taarab. Tutasikia mipasho hadi tuzoee mambo ya pwani.
 
Nadhani kuna kitu kibaya kimempata huyu mama
 
Tunasubili ya kulipwa kama america
 
Pongezi zimwendee mme wake, KWa test mitambo VIZURI, ila uyu mama ,DSM 10 ,inamuusu ,apelekwe Mara MOJA KWa watu wa kitengo husika
 
Kuna ubaya Gani hapo..na zaidi Alikuwa anaongea na wanawake wenzake..sasa kama walimuuliza kuhusu mitambo hiyo si alipaswa kuwa jibu!!!?
 
Hamna waziri hapo[emoji1787]
 
Nitaaminije kama mitambo yake bado iko fiti anipe nitest na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…