Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

Glenn na withdraw comments zangu kuhusu nani hasa alimfukuza Mwinyi kwenye nyumba. Inaonekana ni kitu ambacho hamna mwenye uhakika nacho
 
Kwenye Ukurasa 92 wa Kitabu cha Mzee Ruksa, yeye mwenyewe Mwinyi amaemtaja Waziri huyo kuwa ni Jackson Makweta.
 
Amfukuze kwenye nyumba halafu ampe uwaziri! Ni roho nzuri sana. Mimi ningemuwajibisha ili ajutie kosa lake.
 
Sasa hapo tushike lipi sasa,marehemu brigedia Abdallah Natepe, Jackson Makweta au Hassan Moyo?
 
Kutoka katika historia ya Hayati Mwinyi moja ya jambo kubwa la kiungwana ni kumteua Waziri ambaye alimfukuza katika nyumba ya serikali.

Je atakuwa ni nani huyo? Maana mzee mpaka anafariki hajapenda kumtaja Ila ni vizuri atajwe tu ili watu wajifunze.
Jackson makwetta
 
Amfukuze kwenye nyumba halafu ampe uwaziri! Ni roho nzuri sana. Mimi ningemuwajibisha ili ajutie kosa lake.
Hizo ni fikra za wale wote walio WAI KUTAMANI WENZAO WALIMIE KWA MENO
Nahakika angekua mtu mwingine ange hakikisha anamfanya makwetta aishi kama shetani

mzee mwinyi alikua na Roho ya kipekee sanaa
 
Kutoka katika historia ya Hayati Mwinyi moja ya jambo kubwa la kiungwana ni kumteua Waziri ambaye alimfukuza katika nyumba ya serikali.

Je atakuwa ni nani huyo? Maana mzee mpaka anafariki hajapenda kumtaja Ila ni vizuri atajwe tu ili watu wajifunze.
ni marehemu jackson makweta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…