Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ni kuhusu kesho yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana siyo Makweta. Mbona habari hii ipo hata humu JF ?Jackson Makweta alikua na roho mbaya alikua waziri wa kilimo
Daktari, unataka umjue huyo Waziri ili Umtukane?
Ni kuwa tu una mazoea ya kutukana watu humu.
Hatahivyo, unataka kutuaminisha kuwa haumjui? au Ndio hivyo tu, atajwe umtukane?
Jackson Makweta alikua na roho mbaya alikua waziri wa kilimo
MWinyi alijiuzuru kutoka uwaziri wa mambo ya ndani, hivyo baada ya kuachia ngazi hakuwa na xheo tena.
Ndipo Makweta aliteuliwa kuchukua nafasi yake, akijua Mwinyi sio lolote tena
The last time@Sexless checked,the alleged one wasn't Makweta.D
Duhhh! World is dust and humbleness is key of Life
CorrectHuyo waziri alikuwa anaitwa Abdallah Natepe
Uongo alikuwa mzànzibari mwenzie Abdallah NatepeMakweta
Kwa utawala huu ni kiongozi gani anayetumia akili nyingi hapa Tanzania?Walitawala enzi za wajinga sasahivi watu ni werevu sana hata kupata nafasi ya kutawala utatumia akili nyingi
Acha maneno ya kijiweni, soma post #9.Uongo alikuwa mzànzibari mwenzie Abdallah Natepe
Acheninuonge. Aliyemfukuza Mwinyi ni Mzanzibar mwenzake kwa jina la Natepe. Mbona mnapenda kuzushia watu? Unapata faida gani kwa mfano?Jackson Makweta alikua na roho mbaya alikua waziri wa kilimo
Hatujatunga bali jana TBC ikiwa live walitamka ni Makweta, hivyo sio kosa letuAcheninuonge. Aliyemfukuza Mwinyi ni Mzanzibar mwenzake kwa jina la Natepe. Mbona mnapenda kuzushia watu? Unapata faida gani kwa mfano?
Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...www.jamiiforums.com
Nimesema kutukana watu.Kiongozi gani nimemtukana mtaje hata mmoja ??
Ehh,hivi viongozi sahvi wanatumia akili nyingi [emoji1]Walitawala enzi za wajinga sasahivi watu ni werevu sana hata kupata nafasi ya kutawala utatumia akili nyingi
Waongo tu hao TBCHatujatunga bali jana TBC ikiwa live walitamka ni Makweta, hivyo sio kosa letu