Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Kuna Watanzania mamiloni wenye integrity angeweza kuwateua kama alimwona ni dhulumati.Aliangalia siasa za Tz Bara, na ku balance uongozi wa kitaifa na si kuangalia kutokuwa muungwana kwakèeeeeee na zaidi ya hapo adhabu stahili kwa mtu asiye muungwana ni kumfanyia uungwana ndio atajifunza vizuri zaidi
Jitu dhulumati unalipaje uwaziri?
Fuatilieni news za dunia, someni magazeti, tembeeni dunia zilizoendelea muone utawala bora mjifunze umuhimu wa integrity kwenye teuzi.
Hivi unakuwaje balozi halafu waziri halafu Rais na unashindwa kupata exposure kuliko mimi niliyepo miaka yote Kilombero gulioni, how come ?????