Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Kongole sana awamu ya 5...... maana midawa ya wazungu karibu yote madaktari wanasema usinywe pombe.... sasa hii kachumbari si ninaweza ichanganyia kabisa kwenye konyagi ndogo.
 
Pelekeni WHO ipate approval kama za nchi nyingine, Tutaishangaza Dunia, Kwa hiyo nyungu ni zaidi ya mungu yule?
 
Swali la kitoto
Kwenu Ardhi mnayo kwa nini huwa unaenda dukani na sokoni kununua vyakula kwa nini usilime kwenu uagize vya shambani kwenu
Jibu la kitoto hilo. Mimi Nipo shamba ni mkulima, sinunui na sijawahi kununua chakula dukani. Naanzaje kwanza. Sasa wewe una madini ya simu halafu hutengenezi simu vipi.
 
Kachumbari nao ni ugunduzi?[emoji23][emoji23][emoji23].

Kabla ya corona kuja watu walikua wanakula hiyo kachumbali kila kukicha, basi wasingeugua maana tayari walikua na kinga kwenye miili yao.

Jibu swali, kachumbari ni tiba ya magonjwa?
Mkuu wacha kupoteza muda na nguvu zako kwa huyo karume kenge wa lumumba
 
Daaah ila kama taifa tumepatikana sana awamu hizi mbili!

Ukishaona Daktari anapiga siasa kwenye masuala ya kitaalamu ujue nchi imekengeuka mpaka imepitiliza, sijui tunatoa ishara gani kwa wanetu na vizazi vijavyo
 
Jamani mkuu wa nchi amesema hamna Corona huki wizara nayo inasema ipogo...duuh
 
Jibu la kitoto hilo. Mimi Nipo shamba ni mkulima, sinunui na sijawahi kununua chakula dukani. Naanzaje kwanza. Sasa wewe una madini ya simu halafu hutengenezi simu vipi.
Shamba gani wewe unalima kila kitu? chumvi unalima shambani kwako? Mafuta ya kupikia unalima shambani kwako? Sukari unalima shambani kwako?
 
Wanataka kupandisha bei ya tangawezi na vitunguu ?
izo pilipili nne halafu kichaa ni bora niagizie zile za brazili, moja tu

1: Carolina Reaper – Hottest Pepper in the World. 2,200,000 Scoville Heat Units (SHU) 1612249291076.png
 
Daaah ila kama taifa tumepatikana sana awamu hizi mbili!

Ukishaona Daktari anapiga siasa kwenye masuala ya kitaalamu ujue nchi imekengeuka mpaka imepitiliza, sijui tunatoa ishara gani kwa wanetu na vizazi vijavyo
NIMR kuna madaktari bingwa sio wanasiasa hiyo dawa haijatengenezwa na wanasiasa wa Chadema
 
Wewe ni daktari uliyekariri dawa za wazungu umebobea kwenye dawa za wakoloni wazungu ndio maana kichwa chako kimekaa kizungu zungu hata kutembea unatembea kama mzungu wakati n mndengereko wa kimanzichana
Eeenh! Chukulia tu hayo hapo uliyoyaandika hapo juu, hivi kweli unajihesabu kuwa mtu mwenye akili nzuri?

Ukitaka kujua na kujikumbusha jinsi gani ulivyo kilaza..., rudi tu nyuma humu humu JF, tangu August9, 2015 na michango yako 26,951.

Najua huwezi kuisoma yote, lakini chambua sampuli tu ya kutosha uisome!

Miaka sita iliyopotea bure na kuonyesha kiasi cha upumbavu mkubwa ulionao.

Hivi hata siku moja dhamira yako haikusuti kwa haya unayoyafanya hapa?
 
Uku tunakoelekea ata sijuwi ni wapi? Ivi Tz kuna haja kweli kuwapeleka watoto wetu shule?
 
Brenda na vinu gya kutwangi
Brenda na vinu vya kutwangia,vitapanda bei
Kenya nina taarifa za uhakika tayari Leo bei za malimao na tangawizi sokoni bei juu na hazipatikani wafanyabiashara wameficha bidhaa wanauza kwa bei za kuruka

Kuna patashika Kenya watu wengi wanasambaziana ma group ya watsap kuhusu hii dawa yetu
 
Back
Top Bottom