Natamani niandike uzi kwaajili ya hili!Tiba asili inasaidia mengi sio Corona tu!
1. Uzazi
2. Nguvu za kiume....
Jamaa amechoka na amejaa vumbi kichwani kama alitokea kwenye kuvunja kokoto.Throwback...Mkemia wetuView attachment 1692039
Wewe ni daktari? Maana umeshupalia utafiti as if ukipewa hizo tafiti utaelewa kilichoko kwenye tafiti.Unao ushahidi gani kuhusu madai haya! Kuna utafiti wowote unaoonyesha ushadi huo? Ninaposema 'utafiti' usiniwekee mambo ya vijiweni au 'hearsay!.
Tazameni hii video fupi jinsi waziri na wenzake wakipiga kimombe.
Watanzania nafikiri sasa mwenye macho haaambiwi tazama na za mbayu wayu changanya na zakwako.
Mfalme JUHA katika ubora wake..Throwback...Mkemia wetuView attachment 1692039
Cheki pozi la cameraman,🤣Throwback...Mkemia wetuView attachment 1692039
NDIOIla za magharibi huzitilii shakha?
Tazameni hii video fupi jinsi waziri na wenzake wakipiga kimombe.
Watanzania nafikiri sasa mwenye macho haaambiwi tazama na za mbayu wayu changanya na zakwako.
Sometime mtu Bora ukae kimya kuliko kuonesha ujinga hadharani..Nchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.
Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?
Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutumie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Usiwe na mawazo mgando na mtumwa wa historia vitu vipya vinagunduluwa kila siku hiki swali lako la kibwege na linaonyesha una uwezo mdogo mno wa kiakili ulio below sea level.Kwa hiyo ugunduzi mpya hauruhusiwi kuwepo duniani? Tanzania kuna baadhi ya watu wajinga ukiweo wewe ni wajinga hasa hadi wanakeraToka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?
Hongera sana kwa kutunza kumbu kumbu mkuuThrowback...Mkemia wetuView attachment 1692039
Jamaa alifuata apige kikombe anusuru nafsiJamaa amechoka na amejaa vumbi kichwani kama alitokea kwenye kuvunja kokoto.
Ukishakubali kuolewa basi fuata masharti ya muoajiDokta Molel yani naye anakubali kujumuishwa kwenye huu upuuz