Mbona haka ka kipimo ka kichina ni kama kanahamasisha ushoga kidizaini..Tena apimwe kwanza kwa kipimo kipya cha kichina 😀😀
Mbona haka ka kipimo ka kichina ni kama kanahamasisha ushoga kidizaini..Tena apimwe kwanza kwa kipimo kipya cha kichina 😀😀
Mkuu kuna kachumbari yenye kitunguu swaumu?Nchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.
Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?
Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutumie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Maswali mengine au tuseme ubishi mwingine unashagaza sana - hivi unafikiri kwa nini watoto, vijana na baadhi ya watu wazima hawasumbuliwi na KOVID? Labda tuanzie hapo - ukipata jibu rudi hapa utu - update.Unao ushahidi gani kuhusu madai haya! Kuna utafiti wowote unaoonyesha ushadi huo? Ninaposema 'utafiti' usiniwekee mambo ya vijiweni au 'hearsay!.
Funguka mkuu shida nini?Huku kwetu ni balaa tupu ndugu zangu
Funguka halafu ni wapi hukoHuku kwetu ni balaa tupu ndugu zangu
tutalishana mavvi nawaambiaKuna siku nchi hii tutanyweshana sumu, maana kila mtu amekua daktari na kila mtu amekua mfumbuzi wa dawa.
Ila za magharibi huzitilii shakha?Kuna siku nchi hii tutanyweshana sumu, maana kila mtu amekua daktari na kila mtu amekua mfumbuzi wa dawa.
Wanawake wanaotafuta watototutalishana mavvi nawaambia
Tutakufa kama paka😆😆Kuna siku nchi hii tutanyweshana sumu, maana kila mtu amekua daktari na kila mtu amekua mfumbuzi wa dawa.
Kwahili la hizi dawa za asili,Ni mpumbavu atazikataa na kudhani lazima dawa iende maabara ya mzungu ndiyo iaminike....
SawasawaHata dawa unazokunywa za wazungu nyingi ni mitishamba,mboga mboga na matunda na majani ya miti au hujui hilo?