BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Katembea uchi na Chura wake vipi hujaona?Kafanyaje huyo Masha Love?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katembea uchi na Chura wake vipi hujaona?Kafanyaje huyo Masha Love?
Yaani maadam Sheria zipo, watazijua kwa kuwa tunaelimisha na wataamua sasa kuzifuata au kutofuata, maana hata wao maamuzi wanayo. Mimi ni mwelimisha jamii tu na mfikisha taarifa mahali sahihi Ili jamii ilindwe na hasa watoto na Makundi Maalumu maana wana haki ya kulindwa hata kama wengine wanaona wao hawahitaji kulindwa. Jamii ni Pana sana siyo wao tu hao ambao wanaona hawana uhitaji huo. Wavumilie maana ni ndani ya utaratibu tu hatuko nje.Shikilia hapo hapo mama angu. Hawa wapuuzi wanataka tusiwe na taifa baada ya miaka michache
Mshulikieni huyo lakiniYaani maadam Sheria zipo, watazijua kwa kuwa tunaelimisha na wataamua sasa kuzifuata au kutofuata, maana hata wao maamuzi wanayo. Mimi ni mwelimisha jamii tu na mfikisha taarifa mahali sahihi Ili jamii ilindwe na hasa watoto na Makundi Maalumu maana wana haki ya kulindwa hata kama wengine wanaona wao hawahitaji kulindwa. Jamii ni Pana sana siyo wao tu hao ambao wanaona hawana uhitaji huo. Wavumilie maana ni ndani ya utaratibu tu hatuko nje.
Mbona tumeanza na wengi tu, mbona watu wanajisahaulisha. Je hatukuanza na wale wavaa majoka mwilini na wakaanza promo eti wakilala nayo wanapata hela? Tulikemea. Je hatukukemea kuhusu babu wa TikTok? Je hatukukemea kuhusu mambo ya uongo uongo mengine mengi tu? Vipi hili liwe keleleeee nyiiiingiiii ...Mkuu ukimalizana na Masha Love mtafute na Zuchu mwambie zile tabia zake anazozifanyaga kila anapokua jukwaani apunguze au aache maana anatuharibia watoto huku mikoani
Hakika, Kila mahali hawaishiChapa kazi mama hata kwenye sherehe wavulugaji hawakosekani
Hawajui kabisa kuwa huu ujana na kujipotezea njia ya haki fainali uzeeni. Wanataka Kila mmoja aje akumbukwe kwa kutoisadia jamii? Mimi simo kati ya hao, nitatimiza wajibu kadri niwezavyoKomaa nao. Hii nchi ina wajinga wengi sana. Na mbaya zaid hawajui wanayofanya wao pia yatawaathiri pakubwa kwa namna moja au nyingine
Usijisahaulishe, aliyepambana na yule mtuhumiwa wa Ramada hoteli alikuwa nani? Kama siyo mimi. Ulinipongeza?Mwizi akiiba akikamatwa na mali ya wizi anahukumiwa kifungo. Kwanini asiambiwe arudishe alichoiba halafu akaachiwa huru?
Haya mambo hayataisha bila kuonyesha mfano.
Halafu kipengele cha ushoga umekwepa kukijibu maana unajua kabisa serikali haipo serious kutokomeza ushoga zaidi ya kuongea tu.🤣🤣
Hivi na hili ambalo niliuliza hapa chini, nalo vipi.. Sababu binafsi hilo ndio bomu kubwa kuliko na mwanzo wake ni huu wa sasa, ifike wakati tuwe proactive na sio reactive....Hawajui kabisa kuwa huu ujana na kujipotezea njia ya haki fainali uzeeni. Wanataka Kila mmoja aje akumbukwe kwa kutoisadia jamii? Mimi simo kati ya hao, nitatimiza wajibu kadri niwezavyo
Salaam. Bahati mbaya sikuona mapema, kuna mijadala mingine huwa inanipita. Ngoja nitasoma, ila kwa ufupi, tumeshakamilisha mapitio ya sera ya Wazee mtasikia siku si nyingi ikitangazwa. Aidha, kwenye vision 2050 mtaona pia future ya kundi hili. Nakushukuru kwa uliyoandika, tutasoma tutachukua ya kuchukua kwa ajili ya kujumuisha kwenye mwelekeo wa kundi hili.Hivi na hili ambalo niliuliza hapa chini, nalo vipi.. Sababu binafsi hilo ndio bomu kubwa kuliko na mwanzo wake ni huu wa sasa, ifike wakati tuwe proactive na sio reactive....
Ustawi wa Jamii: Tunajiandaa Vipi na Kuzuia Wimbi la Wazee Ombaomba wa Kesho ?
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...www.jamiiforums.com
Nashangaa. Inashangaza Sana kuona mtu wa ulimwengu huu wa Leo tena wa kidigitali anakuwa hafahamu kuhusu majukumu ya wizara na tofauti yake na mahakama. Je wasio kidigitali huko, bado tunasafari ndefu Sana Afrika yetuIlienda mahakamani baadae Dpp akaifuta hapo waziri angefanya nini? Let us be fair
Sihitaji kiki hata moja kwa kuwa sina kazi nayo wakati huu wala wowote ule. Natimiza wajibu wangu tu basi.Huyu mama nae kaanza kupenda Kiki
Yuko sahihi, sina mamlaka ya kuingilia uendeshaji wa mahakama na hata wewe na mwingine yeyote hatuna. AhsanteKWahiyo wewee Unanifundisha kumuadress kiongozi au !? Mbona ya yeye gwajima hajasema hayo!? Punguza uchumia tumbo,ungemucha akijibu hoja zangu
Na sijui kwa nini anakuita hivyo wakati umemwelimisha vema kabisa. Anyway, muache tu. Art ya mawasiliano humu huwa Iko katika mazingira kwamba, ukosee Ili mtu akate kipande akaanze Uzi mpya wa kupotosha tena. Hivyo, muache tu, moyoni kaelewa.Mimi siwezi kuwa mchumia tumbo. Halafu wewe huna uwezo wa kuadress kiongozi. Kwa sababu nimeona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
Asante kwa jibu ila binafsi nadhani hili suala wala sio la kwako pekee bali ni la Wizara zote na nchi yote kwa ujumla mwisho wa siku kijana wa leo akipata ujira na kuweza hata kujiwekea akiba kama pensheni hio kesho ikifika wala hatutahitaji kumpa pesa au kumtunza, sababu kile alichokichuma leo na kingine kuwekewa kitamtunza....Salaam. Bahati mbaya sikuona mapema, kuna mijadala mingine huwa inanipita. Ngoja nitasoma, ila kwa ufupi, tumeshakamilisha mapitio ya sera ya Wazee mtasikia siku si nyingi ikitangazwa. Aidha, kwenye vision 2050 mtaona pia future ya kundi hili. Nakushukuru kwa uliyoandika, tutasoma tutachukua ya kuchukua kwa ajili ya kujumuisha kwenye mwelekeo wa kundi hili.
Hapana. Uchi kabisa au nusu yake tu?Katembea uchi na Chura wake vipi hujaona?
Siikumbuki hiyo ya Ramada mheshimiwa ngoja nifatilie. Hongera kwa hilo...Usijisahaulishe, aliyepambana na yule mtuhumiwa wa Ramada hoteli alikuwa nani? Kama siyo mimi. Ulinipongeza?
Asante.Ahsante Sana, jamani ngoja mimi nitimize majukumu yangu ya huku uraiani, kule mahakamani nako hutimiza yao kwa mujibu wa Sheria zao na kanuni zao, tufuate utaratibu wa Kila mahali husika kwa mujibu wa majukumu, miongozo na Sheria husika. Ahsante Sana
Mh Wazir nakuomba uachane na huyo binti ujue Huwa anatusaidia sana sisi vijana mkimfunga wafuasi wake watageuka kuwa wabakaji sasa utakuwa umeruka na kukanyaga nini?Cheap popularity sasa Mimi inipeleke wapi kwa mfano? Yaani inisadie nini hasa wewe unavyodhani. Si usinipe tu hiyo popularity yaishe😀
Mimi nasimamia Yale ambayo nyie watanzania mmeyawekea Sheria ambazo zinatakiwa kusimamiwa kwa ajili ya kujenga maadili na kuwalinda watoto wenu. Ni hilo tu. Sheria ya mtandao kifungu cha 14 kasome Kiko online. Hii habari ya kuuliza serikali ina mkakati gani na mpango gani na Sheria ziko wapi, muwe mnakumbuka kuwa vyote vipi, na tukianza kusimamia tupeane ushirikiano rafiki.
Wapi umeona nayafurahia?Kwan wewe mbona unayafurahia sana haya mambo wewe ndio mdau pia au??
Sasa ndiyo unaongea vema. Shida za nchi yetu ni huu utaratibu wa watu kuomba Sheria itungwe, halafu wakati wa kutoa maoni hawaji na wito hutolewa online pia siku kadhaa, halafu sheria ikishatungwa na kusambazwa ikiwemo online humu, hawafuatilii. Ikianza kutekelezwa wanaanza kumlaumu mtekelezaji na kudhani amekuja na yake tu. Niwaambie ukweli, Hali hii huvunja mioyo watu wenu wengi wenye Nia ya kusimamia hayo mabadiliko. Hubaki wenye mioyo migumu tu na kama kawaida huwa ni wachache Sana. Hivi hasara hupata nani hapo?Siikumbuki hiyo ya Ramada mheshimiwa ngoja nifatilie. Hongera kwa hilo...
Basi tunaomba na mashoga wanaojionyesha waziwazi mitandaoni wapewe onyo pages zao zifungwe. Kama wanafanya hayo mambo wafanye sirini na sio waziwazi imeanza kuonekana ni kawaida.