Ahsante Sana ku save ndugu yangu, itakusaidia wewe na wengine wa karibu yako ambao, huwa naumia Sana kusikia mtu mmoja mwenye shida na jambo ambalo liko ofisini kwangu halafu bahati mbaya hajapata msaada katika mfumo rasmi halafu anaanza kulia peke yake hajui rufaa aifikishe vipi kwangu kwa haraka. Huwa nikiona mtu mmoja kaamua ku save, huwa naamini nyuma yake wako kumi kama siyo 20. Umoja wetu ni nguvu yetu wala na ni msingi katika kusukuma mbele maendeleo na ustawi wa jamii na kupambana na kero kero za kutengenezwa na baadhi ya wasio na Nia njema[emoji1666][emoji1241]
Angalizo; Msipige Bali tumeni UJUMBE tafadhali. Na vema zaidi WhatsApp kwa kuwa naipata popote. Nikiwa nje ya nchi kama hivi sms za kawaida saa ingine mtihani. Ila Nina namba ingine pia ya 0734124191. Sms pia.
Ila call center yetu ni 0734986503 na 026 2160250. Saa za kazi siku za kazi. Kuna 116 kwa ajili ya taarifa za ukatili kwa watoto, siku zote saa 24.
Mkumbuke kuna namba ya IGP pia, 0699 998899.
Tukl vizuri kudhibiti wababaishaji na wanaoonea watu. 🇹🇿🤝
Sent from my CPH2207 using
JamiiForums mobile app