Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Tuliwajua hawa wote wakiongoza na JPM kipindi kile. Na ndio hoja ya unafiki inapojengewa hapo.Usalama wa afya ya mtu huanza na mwenyewe....unamuita mnafiki mtu anayejipapatua kujilinda mwenyewe ?!! Khaaa 😲
Na kanda ya magharibi ni mikoa ipi ?Yego ni pamoja na Shinyanga
Kuna mlokole mwingine wajina akijinadi kufufua wafu.
Ajabu yalipotukuta akatutelekeza na sasa tumehamia kwenye kuchonga sanamu.
Kwanini wewe si yule?
Wilaya gani hiyo?Kijijini kwetu Hali si nzuri kabisa I'm so sacred kwa kweli na wengine wanatolewa Dar kwenda kuzikwa na mbaya hata Ile second stage ya corona mpuputiko ulikuwa mkubwa mno.
Kabisaaaah yaan.Huko Kilimanjaro watu wanapuputika kweli, Bora serikali ilete tu hizo chanjo maana Hali si nzuri na watu hawachukui tahadhari ka kipindi coronavirus ilivoingia
Wachawi hao wakiongozwa na mama yao SSH.Hao watu wanaodondoka sana ni wangapi?
Kwa ugonjwa gani? Lini? Wapi? Saa ngapi? Umejuaje?
We ni mchawi au nabii?
Kijijini kwetu Hali si nzuri kabisa I'm so sacred kwa kweli na wengine wanatolewa Dar kwenda kuzikwa na mbaya hata Ile second stage ya corona mpuputiko ulikuwa mkubwa mno.
Na kanda ya magharibi ni mikoa gani ?Mikoa ya kanda ya ziwa ni kagera,geita,mwanza,shinyanga,simiyu na Mara.
Anatafuta kiki huyo ambiwe na yeye ni dalali wa chanjo.Wilaya gani hiyo?
Wananchi wangapi wanasubiri kwanini unajumuisha watu wote jiseme nafsi yako ikija katenge takle mwenyewe usitujumuishe woteWananchi tuhimimizane umuhimu wa kuchomwa CHANJO dhidi ya CORONA....
Serikali yetu adhimu iharakishe kuzileta hizo CHANJO ,wananchi tunazisubiri kwa HAMU KUBWA MNO!!!!
Angalia sababu ziko wazi kwenye Biblia kwa nini kufufuliwa? Na wako walokole manabii wa ungongo pia. Na Vyote hivyo Bwana Yesu ambaye ni Neno aliviweka wazi. Usinilitee kufufuliwa kwa mtu kujitafutia utukufu binafsi na kufanya matangazo ya biashara yake injili ya shetani hapa. Ongelea Ufufuo wa kumtukuza Mungu wa Mbinguni hilo tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachawi hao wakiongozwa na mama yao SSH.
Watu wanapukutika sana wapi huko wanatamani yatoke lakini ndo hivo Mungu yupo pamoja nasi.
😲Khaaa Unamtolea maneno makali member mwenzako simply tu kwa kueleza anachofahamu?!!!Anatafuta kiki huyo ambiwe na yeye ni dalali wa chanjo.
Achana nae mwehu huyo.
Wananchi ni zaidi ya mmoja....Wananchi wangapi wanasubiri kwanini unajumuisha watu wote jiseme nafsi yako ikija katenge takle mwenyewe usitujumuishe wote
Kwanini usipendekeze hospitali zote kufungwa ili ukawaponye wote huko wewe usiyekuwa nabii wa uongo?
Huyu ni mwehu kweli anaongea tu bila kutaja kijiji wala wilaya husika ili tupime kama ayasemayo ni kweli au ndio propaganda zile zile na kupiga kelele huku hali ni tofauti kabisa. Tunatishana tu wenyewe kwa kukuza mambo.Anatafuta kiki huyo ambiwe na yeye ni dalali wa chanjo.
Achana nae mwehu huyo.
😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!Hukuelewa hapo nilipo kuambia ziko sababu za kutukuzwa Mungu. Hata hospitali nayo yaweza kuwa sehemu ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni au shetwani. Wanapo sababisha miili yetu kutoka kuwa The Temple òf the Holy Ghost na kuigeuza kuwa magnetic fields kwa kupitia chanjo covid ambayo ni ya mkakati wa Bill Gates na nduguze jua ni shetwani anaye tukuzwa hapo.
Hukuelewa hapo nilipo kuambia ziko sababu za kutukuzwa Mungu. Hata hospitali nayo yaweza kuwa sehemu ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni au shetwani. Wanapo sababisha miili yetu kutoka kuwa The Temple òf the Holy Ghost na kuigeuza kuwa magnetic fields kwa kupitia chanjo covid ambayo ni ya mkakati wa Bill Gates na nduguze jua ni shetwani anaye tukuzwa hapo.