Jiseme nafsi yako we ni nani uwaseme?Wananchi ni zaidi ya mmoja....
Hapa nilipo tupo 3 tulio tayari kuchomwa hizo CHANJO....ukiacha sisi walalahoi na ninaamini nchi nzima ina hao ndugu zetu manesi na madaktari walio mstari wa mbele kututibu wagonjwa wa UVIKO ,nao wako watakaokubali kuchomwa hizo chanjo ukiacha wewe na wenzako.....
😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!
Kwahio RC wa Shinyanga na yule wa Iringa waliomkamata kiongozi wa Chadema watakua wameudanganya umma wa Watanzania sio?Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:
“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."
Mwenye masikio na asikie:
“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
--------
My take:
Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!
Hata tahadhari ya ugonjwa huu zikiwamo chanjo na michango ya akina bill gates vyaweza kuwa njia ya kumtukuza Mungu pia.
Mkuu samahani wewe kuelewa na kuyafafanua mambo kwa undani kidogo ni ngumu?😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!
Sikuzuii kuzungumzia imani yako...kwako wewe uko sahihi....Soma Ufunuo wa Yohana ujue kuelekea kiama mambo yatakayo jitokeza. Utapigwa chapa ya mpinga Kristo. Nazungumzia Imani yangu ya Bwana Yesu Kristo wa Nazarethi hapa. Na ieleweke hivyo.
Kwahio RC wa Shinyanga na yule wa Iringa waliomkamata kiongozi wa Chadema watakua wameudanganya umma wa Watanzania sio?
Mkuu umeamka salama kweli ?!! 🤣🤣Freemasonary na humtukuza mungu wao. Sikushangai wala siwashangai mawskala wapinga Kristo . Neno la Mungu ni Hakika na Kweli yote na Unabii wake lazima utimie. Ni bahati mbaya sana kwa yule ambaye atatumiwa na mpinga Kristo kutimiza agenda yake.
Mkuu umeamka salama kweli ?!! 🤣🤣
Freemasonary na humtukuza mungu wao. Sikushangai wala siwashangai mawskala wapinga Kristo . Neno la Mungu ni Hakika na Kweli yote na Unabii wake lazima utimie. Ni bahati mbaya sana kwa yule ambaye atatumiwa na mpinga Kristo kutimiza agenda yake.
Waumini wa mambe kimambi hao wanaokoteza ya mitandaoni wakati sisi huku mitaani hatuoni chochote.Huyu ni mwehu kweli anaongea tu bila kutaja kijiji wala wilaya husika ili tupime kama ayasemayo ni kweli au ndio propaganda zile zile na kupiga kelele huku hali ni tofauti kabisa. Tunatishana tu wenyewe kwa kukuza mambo.
Unayaokota wapi hayo ya Freemasonry?
Kwanini wewe ndiyo unajiona kumtukuza Mungu kwa kutumia hospitali inapobidi, lakini si wengine wanaosukuma matumizi ya hospitali na wataalamu wa afya kupambana na Corona?
Hujishangai mjomba?
Askari huenda vitani na SILAHA ZA KILA NAMNA....Unayaokota wapi hayo ya Freemasonry?
Kwanini wewe ndiyo unajiona kumtukuza Mungu kwa kutumia hospitali inapobidi, lakini si wengine wanaosukuma matumizi ya hospitali na wataalamu wa afya kupambana na Corona?
Hujishangai mjomba?
The issue hapa ni covid na yatokanayo hii covid hilo tu
Vaa barakoaHivi Shinyanga iko kanda ya Ziwa au siku hizi imehamishiwa kanda ya Kati?
Kigoma, Tabora na kina KataviNa kanda ya magharibi ni mikoa ipi ?
Chanzo cha hizi taarifa ni kipi ?Kigoma, Tabora na kina Katavi